Poa poa bro haina noma, siku nyingine. Mi pia nimekuja kwa muda tu huku.mkuu mm natokea pande za kange ila saa hv nimesepa tayar
Ningekuwepo boss tunge meet garden au rusha roho
Ah mi sio mwenyeji sana kaka.Nje ya mada. Mkuu naweza kupata geto la bei rahisi huko?