Wewe ntakutia mimi bakora. Mwache mwenzio atiwe na KaizerHommie hawezi kuwatieni nyote. atachoka na hivyo atashindwa kuwatieni bakora vizuri zikawaingia[/QUO
Kama una kibamia ruksa, miguu ya watoto stak miee:screwy:
hahaha ntakutia bakora Honey Faith hukusoma tangazo hapa kwa wanandoa tu?
Usimfikirie vibaya mkeo watu wanatafautiana sana na hakuna wanandoa wako kama nyinyi.. mimi nina miaka kumi kwenye ndoa sio mingi ila sio michache pia. kwanza oengea nae kuhusu hili na umwambie unafikiria nini kutokana na ukimya wake. Mkifikia muafaka utaona mwenyewe kama atafanya hivyo au la. Na hayo mazungumzo serious hivyo katika muatakabali Wa ndoa yenu usifanyie nyumbani kwenu. Halafu unamwambia kama wiki kabla kwamba unamazungumzo very serious unataka kuongea nae.
Kama anatumia sindano za uzazi wa mpango au kipandikizi[implanon], zote zinapunguza hamu ya tendo la ndoa[libido].Hivi wezangu mlio kwenye ndoa,hivi ni kweli mwanaume ndio anapaswa kumuanza mwanamke ili kufanya mapenzi? Naomba ushauri maana mimi mke wangu nisipomuanza tunaweza kukaa hata mwaka tusifanya mapenzi! Sasa najiuliza ja huwa hana hamu au mpaka umuanza au amenichoka, anamtu mwingine au kazi zinamfanya anarudi amechoka. Kazi zote za nyumbani anazifanya kasoro ni hiyo tu. Je na wezangu wakezenu wanafanya hivo? Nimejaribu kuongea nae lakini habadiliki.
hebu log in uendelee kufafanuaishiiiiii
huyo huenda kwake mechi sio tamu lolz
kitu kitamu unapeleka maombi mwenyewe kabla hata usiku haujaingia. Na log off
Hivi wezangu mlio kwenye ndoa,hivi ni kweli mwanaume ndio anapaswa kumuanza mwanamke ili kufanya mapenzi? Naomba ushauri maana mimi mke wangu nisipomuanza tunaweza kukaa hata mwaka tusifanya mapenzi! Sasa najiuliza ja huwa hana hamu au mpaka umuanza au amenichoka, anamtu mwingine au kazi zinamfanya anarudi amechoka. Kazi zote za nyumbani anazifanya kasoro ni hiyo tu. Je na wezangu wakezenu wanafanya hivo? Nimejaribu kuongea nae lakini habadiliki.
,mbona mawazo hasi yamekua mengi?Hivi wezangu mlio kwenye ndoa,hivi ni kweli mwanaume ndio anapaswa kumuanza mwanamke ili kufanya mapenzi? Naomba ushauri maana mimi mke wangu nisipomuanza tunaweza kukaa hata mwaka tusifanya mapenzi! Sasa najiuliza ja huwa hana hamu au mpaka umuanza au amenichoka, anamtu mwingine au kazi zinamfanya anarudi amechoka. Kazi zote za nyumbani anazifanya kasoro ni hiyo tu. Je na wezangu wakezenu wanafanya hivo? Nimejaribu kuongea nae lakini habadiliki.
Kama anatumia sindano za uzazi wa mpango au kipandikizi[implanon], zote zinapunguza hamu ya tendo la ndoa[libido].
Mbuzi mnyama au mkeo ndio umemuita mbuzi?
Aisee nilitaniwa sana nikiwa skul enzi hizo....ndo maana nilivoliona nikasema, lol...hilo lilikuwa la utani utotoni. We umeliona wapi?