Kwa walio apdate form zao za mkopo baada ya kukosea

beltomaiko

Member
Aug 19, 2012
13
0
Kwa wale ambao walikua na matatizo ya kuto atach picha ya mdhamini ambao majina yao yali be desplayed kwenye website ya bodi, ambao waliambiwa wazitume kwa njia ya ems na wakafanya hivyo, majina yao hayataonekana tena kwenye zile list mimi ni mmoja wapo na nimefanya hivyo na naona jina langu halipo kwenye ile list lilokuepo. Kwa hivyo bas il ujue ile barua yako ilisha wafikia na kufanyiwa kazi kaangalie jina lako kama lipo tena.
 
Kwa wale ambao walikua na matatizo ya kuto atach picha ya mdhamini ambao majina yao yali be de

CHANZO MKUBWA
 
Kwa wale ambao walikua na matatizo ya kuto atach picha ya mdhamini ambao majina yao yali be desplayed kwenye website ya bodi, ambao waliambiwa wazitume kwa njia ya ems na wakafanya hivyo, majina yao hayataonekana tena kwenye zile list mimi ni mmoja wapo na nimefanya hivyo na naona jina langu halipo kwenye ile list lilokuepo. Kwa hivyo bas il ujue ile barua yako ilisha wafikia na kufanyiwa kazi kaangalie jina lako kama lipo tena.[
ukiangalia ile list ya pili: Applicants with Multiple anomalies in their application forms ilikua na watu 909 na idada imebaki hivyo so inamaana hakuna aliyefanya mabadiliko? embu eleza vizuri aisee
 
mwanangu hiyo unayoiongelea labda siyo website ya heslb ya TZ coz huwez kuniambia kila saa wanupdate website yao halafu sisi wakasahau kuyatoa majina yetu hata baada ya deadline ya marekebisho
 
Back
Top Bottom