tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,017
- 1,940
we ni mpumbavu kabisa, nadhani hujazaa wewe, huna mtoto wewe unaishi kwa wazazi bado. kwa kosa alilofanya huyo mwl. kwa kumuadhbu vile mtoto bado unasema kapewa adhabu kubwa mno kweli?!! we ni kenge kabisa...watu tunatamani hadi kumkatia rufaa huyo mwl aliyeachiwa huru afu we unaongea mambo ya kipumbavu hapa. kwa fact zilizotolewa mbele ya mahakama ni dhahiri huyo mwl. alikusudia kuua, hiwezi mpiga mtoto kiasi kile. I'm a professional teacher from, adhabu kubwa na ya mwisho kwa mwanagunzi aliyefanya kosa kubwa kabisa hua ni kufukuzwa shule sio kumfanyia unyama kama ulesure mkuu,hii adhabu aliyopewa huyu mwalimu ambae mshahara wake hauzidi laki 7 kwa mwezi ni kubwa mno na sijui imetolewa kwa kuangalia vigezo vipi.
Kwa nini basi hakubadilishiwa mashitaka kuwa kuua bila kukusudia.Mbona askari wakiua wakati wa utekerezaji wa majukumu yao hawapewi adhabu za namna hii
we ni mpumbavu kabisa, nadhani hujazaa wewe, huna mtoto wewe unaishi kwa wazazi bado. kwa kosa alilofanya huyo mwl. kwa kumuadhbu vile mtoto bado unasema kapewa adhabu kubwa mno kweli?!! we ni kenge kabisa...watu tunatamani hadi kumkatia rufaa huyo mwl aliyeachiwa huru afu we unaongea mambo ya kipumbavu hapa. kwa fact zilizotolewa mbele ya mahakama ni dhahiri huyo mwl. alikusudia kuua, hiwezi mpiga mtoto kiasi kile. I'm a professional teacher from, adhabu kubwa na ya mwisho kwa mwanagunzi aliyefanya kosa kubwa kabisa hua ni kufukuzwa shule sio kumfanyia unyama kama ule
Stressed teacher,pliz JPM ongeza mshaharA hawa watuwe ni mpumbavu kabisa, nadhani hujazaa wewe, huna mtoto wewe unaishi kwa wazazi bado. kwa kosa alilofanya huyo mwl. kwa kumuadhbu vile mtoto bado unasema kapewa adhabu kubwa mno kweli?!! we ni kenge kabisa...watu tunatamani hadi kumkatia rufaa huyo mwl aliyeachiwa huru afu we unaongea mambo ya kipumbavu hapa. kwa fact zilizotolewa mbele ya mahakama ni dhahiri huyo mwl. alikusudia kuua, hiwezi mpiga mtoto kiasi kile. I'm a professional teacher from, adhabu kubwa na ya mwisho kwa mwanagunzi aliyefanya kosa kubwa kabisa hua ni kufukuzwa shule sio kumfanyia unyama kama ule
nime type nimefuta, nimeona uvivu kukujibu.Stressed teacher,pliz JPM ongeza mshaharA hawa watu
sure mkuu,hii adhabu aliyopewa huyu mwalimu ambae mshahara wake hauzidi laki 7 kwa mwezi ni kubwa mno na sijui imetolewa kwa kuangalia vigezo vipi.
Kwa nini basi hakubadilishiwa mashitaka kuwa kuua bila kukusudia.Mbona askari wakiua wakati wa utekerezaji wa majukumu yao hawapewi adhabu za namna hii
Acheni kujificha kwenye kichaka cha STRESS/FRUSTRATION, kama kazi ngumu acheni lakini sio kugeuka VAMPIRES kwa watoto wetu!Na doubt na professional teacher yako aisee ayo matusi kwamba uchungu unao sana we are at the same block but l wonder hujui stress tulizonazo teachers usiangalie upande mmoja imetokea accidentally kwani adhabu alianzia kwa uyo mwanafunzi ni wengi sema day ilifika tu imagine wingi na usumbufu plus mambo ambayo serikali haijamtimizia,mambo ya familia ni pasua kichwa sema mtoa thread nakupongeza umeongea kama ni mtu wa kada na mkosaji salute to you
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nipingane nawe kidogo, kuna uzi umetolewa humu wa namna mwalimu huyu alivyomuadhibu huyu mtoto. Hata kama ni stress hapana jamani. Kweli walimu tuna mengi tunayopitia lkn isiwe ndio kigezo cha kumalizia hasira zetu kwa wanafunzi. Emagine huyu mtoto angekuwa ni wako ungemuelewa huyu mwalimu kweli?Na doubt na professional teacher yako aisee ayo matusi kwamba uchungu unao sana we are at the same block but l wonder hujui stress tulizonazo teachers usiangalie upande mmoja imetokea accidentally kwani adhabu alianzia kwa uyo mwanafunzi ni wengi sema day ilifika tu imagine wingi na usumbufu plus mambo ambayo serikali haijamtimizia,mambo ya familia ni pasua kichwa sema mtoa thread nakupongeza umeongea kama ni mtu wa kada na mkosaji salute to you
Sent using Jamii Forums mobile app
sure mkuu,hii adhabu aliyopewa huyu mwalimu ambae mshahara wake hauzidi laki 7 kwa mwezi ni kubwa mno na sijui imetolewa kwa kuangalia vigezo vipi.
Kwa nini basi hakubadilishiwa mashitaka kuwa kuua bila kukusudia.Mbona askari wakiua wakati wa utekerezaji wa majukumu yao hawapewi adhabu za namna hii
adhabu imetolewa kulingana na kosa nalo ni kuua kwa kukusudia. Huyu Mungu wa ajabu sana tena sana, ni bodaboda wangapi ukisahau mzigo wako kwake anakuletea? lakini bodaboda wa watu akapeleka mzigo wa watu na hapo ikaonekana mtoto hakuwa na hatia ila mwalimu alikusudia kumuua. Mungu yupo kutetea wanaonyanyaswa na hili ni funzo kwetu sote, usihukumu usije ukahukumiwanime type nimefuta, nimeona uvivu kukujibu.
Ameua bila kukusudia? Kivipi yaani?sure mkuu,hii adhabu aliyopewa huyu mwalimu ambae mshahara wake hauzidi laki 7 kwa mwezi ni kubwa mno na sijui imetolewa kwa kuangalia vigezo vipi.
Kwa nini basi hakubadilishiwa mashitaka kuwa kuua bila kukusudia.Mbona askari wakiua wakati wa utekerezaji wa majukumu yao hawapewi adhabu za namna hii
Stress zikufanye uue? U are not serious mkuu. Mwache nae akafilie huko mbeleNa doubt na professional teacher yako aisee ayo matusi kwamba uchungu unao sana we are at the same block but l wonder hujui stress tulizonazo teachers usiangalie upande mmoja imetokea accidentally kwani adhabu alianzia kwa uyo mwanafunzi ni wengi sema day ilifika tu imagine wingi na usumbufu plus mambo ambayo serikali haijamtimizia,mambo ya familia ni pasua kichwa sema mtoa thread nakupongeza umeongea kama ni mtu wa kada na mkosaji salute to you
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa inabidi waambiwe kwa upole maana watanyongwa wengi sana wasipoangalia. sifa mbaya sana , yote hiyo ilikuwa ni kutafuta sifa. hata kama kweli alikuwa kaiba ndio umpige vile? hata mtaani mwizi anapokamatwa wanaopiga wakiona polis wanatawanyika wanajua ni kosa sembuse huyo mwalimu anaua akiwa peke yake na bila ushihidi? Mungu wangu epushia mbali ila hili liwe funzo kabisaEti acha wafeli,acha wabebe mimba nk nk......
Mkuu una watoto kweli? Je inamaana kwamba njia pekee ya kumnyoosha mtoto ni kipigo tu?
Tatizo hapa mimi naona ni kutoa adhabu kwa mihemko, hii sio kwa walimu tu bali hata kwa wazazi pia. Tuwasikilize watoto, kisha tufanye ufuatiliaji(hii pia inapunguza mihemko maana hadi ufuatilie na uthibitishe na hasira zitakuwa zimepungua hivyo utatoa adhabu stahiki)
Sheria na miongozo iko wazi ya aina za adhabu zinazopaswa kutolewa kwa wanafunzi, tuzifuate hizo na hatutokuwa na madhara yoyote.
Pia tusipende zaidi adhabu za kipigo as most of times hazijengi zaidi ya kumjengea mtoto uoga na kumfanya kuwa na heshima ya kuigiza awapo machoni pako tu kwa kuogopa adhabu. Tuelekeze zaidi kwa upendo, hiki ni kitu kinachokosekana sana majumbani na shuleni kwa ujumla.