Kwa walimu wazoefu, Naombeni sample ya lesson plan

Kwa walimu wazoefu, Naombeni sample ya lesson plan

Habari za majukumu wadau wa jukwaa la elimu, kama kichwa kinavojieleza, naombeni yeyote mwenye sample ya lesson plan anisaidie. Natanguliza shukrani kwenu.
We umeajiliwa?
Kama umeajiliwa (yaaani ni mwalimu at work) vitabu/daftali za lesson plan huwa zinanunuliwa na shule toka kwa verified supplier ambazo tayari zinakuwa zimechorwa/kuandikwa stages zote za lesson plan. So huna haja ya kuulizia watu humu kwamba "ikoje".
 
Back
Top Bottom