Kwa walimu wazoefu, Naombeni sample ya lesson plan

Kwa walimu wazoefu, Naombeni sample ya lesson plan

GANG MO

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
2,124
Reaction score
2,271
Habari za majukumu wadau wa jukwaa la elimu, kama kichwa kinavojieleza, naombeni yeyote mwenye sample ya lesson plan anisaidie. Natanguliza shukrani kwenu.
 
Sigara Kali, naomba unisaidie link, sorry
 
Haya masikhara...
Hapo ulipo huzioni shule!!!?
 
WA hivi kule Nigeria mnapewa mtihani mnafeli kisha mnafukuzwa.
 
Duuu wadau MOI JOHN, data mnanisimanga badala ya kunisaidia
 
MIMI SO MZOEFU ILA NI HIVI


LAZIMA KUWE NA

PRELIMINARY INFORMATION
°Date utakayo kuwa na kipindi
°Class darasa utakalo ingia
°Subject somo utalofundisha
°Period kipindi cha ngapi?
°Time saa ngap kipind chako?
°Number of learners (present and and absent both male and female)


THEN

baada ya hapo lazima uwe na

∆Competence (unaipata katika syllabus,katika topic husika)
∆General objectives (Dhumuni lako binafsi katika ufundishaji mpka utakapoishia hiyo topic)
∆Specific objectives(Dhumuni lako utakalo kufikia kwa kila sub topics unayofundisha)
∆Main topic
∆Sub topic
∆Teaching and learning materials
∆Reference


baada ya hapo lesson development
 
Umesoma chuo gani! Hujafundishwa curriculum?
 
Jamani kwa nini wanakusimanga? Ningekua nayo ningekurushia. Mtembelee mwalimu yoyote aliye karibu atakuonyesha scheme of work na lesson plan
 
[HASHTAG]#Stevenbee[/HASHTAG]
ahsante sana. Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom