Kwa walimu wa masomo ya arts

senzoside

Senior Member
Mar 13, 2012
183
31
Mbona siwasikii wale ambao walikuwa wanawasimanga walimu wa arts kwamba hawataajiriwa mwaka huu vipi mbona wamesizi hivyo au ulilishwa matango pori nini kuhusu ajira mpya za waalimu
 
Walimu wengi wa Arts hasa wale wa History na Kiingereza ni mbumbumbu.Utashangaa mwalimu wa Kingereza lakini hawezi kujieleza Kwa lugha husika.Tuishukuru serikali ya Magamba Kwa kuajili wote,wanaojua na wasiojua.
 
Kwa hiyo na wewe ni mbumbuu?
 
Walimu wengi wa Arts hasa wale wa History na Kiingereza ni mbumbumbu.Utashangaa mwalimu wa Kingereza lakini hawezi kujieleza Kwa lugha husika.Tuishukuru serikali ya Magamba Kwa kuajili wote,wanaojua na wasiojua.

hahaha!unajua tatizo cyo hao walimu bali mfumo,kwa mfano mtu anasoma QT(form 1&2)ndani ya mwaka mmoja,form 3&4 ndani ya mwaka mmoja tena na form 5 &6 mwaka mmoja(yaani miaka mitatu kasoma form one mpaka six)afu anaenda chuo,what do you expect from him or her?
 
Back
Top Bottom