Kwa walevi: Hali ipi hukutokea ukishalewa?

Mithali 31:6-7 'Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.'
Walokole mna taabu ya kukariri kifungu kimoja hebu Kumbukumbu la torati 14: 26
 
Daah kuna mwenzangu akishafkisha beer ya 4 tu anaanza kulia
Kosa ukimbembeleza anyamaze ndio anazidi hasa kulia kwa machungu na kwa hisia hadi kwikwi juu[emoji1321]
Umenikumbusha jamaa yangu moja, yeye 3 tu, ataongea mpaka utamkimbia maana kukudhaklilisha ni dakika 0
 
Saa yangu ya kulala nakushukuru baba kwani umenipa mema dhambi moja nimetenda nimemaliza chupa mbili za wine lakini dhambi hii haipo kwenye kumi. Sijatukana, sijaacha kumpikia wandani msosi, sijasahau majukumu yangu na nimekukumbuka kuwa wewe ndiyo uliyeniumba. Naomba baba we kesho unipe uwezo ninunue vingine viwili na nizidi kukutukuza kupitia JF ila situkani, silewi, sisahau majukumu yangu na naona maisha ndo yanasonga. Life is too short enjoy it if you can. Mennnnnn.
 
Daah! [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom