Hasara hiyo sasa!Daaaa! Pombe napenda coz huwa nikilewa nagawa bia nakuwa na huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]MIMI bila KULIA SANA...au nikiamka ASUBUHI sina ALAMA kama MDOMO KUVIMBA au JICHO kuvimba najiona kama jana SIKULEWA SN.,
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Ukinywa pombe ukashindwa kuongea English na kifaransa usilipie hiyo pombe
Kichwa kidogo hua kinang'ang'ania kutoboa zipu ya surualiMimi sio mnywaji wala mlevi wa pombe, hii ni kutokana na kuiona kero pombe kila ninapoonja huniletea matatizo, kama vile kichwa kuuma, kutapika na pombe kuchelewa kutoka mpaka siku inayofuata na kunifanya nione kero sana.
Hivyo naichukia. Sasa najiuliza, kitu gani kwa wenzangu kinawavutia kula ulabu huku kukiwa na hasara nyingi na faida chache? Kwa kawaida pombe inapoanza kukolea kwa mlevi, humletea mabadiliko yanayomfanya awe tofauti.
Wapo wengine wanajiona wenye nguvu ya kuwa wababe, wengine huwa waongeaji sana, wengine hupendelea kushika shika makalio ya wahudumu na mengine, sasa hii ndio burudani yenyewe?
Wewe mdau pombe inaposhika kasi ni furaha gani hukujia ambayo ndio burudani inayosababisha uipende pombe?
ukikosea kukadiria ukaizidisha utakua kama kitwangaMie nikinywa, halafu itokee nina presentation loooooh! yaani ninawasilisha kama sina akili nzuri, hahahahahah
napenda sana pombe! acheni kui disi vibaya
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛😛😛
hahahha, mie ni sugu huwa silewi, hata siku ukinikaribisha pombe ni wewe tu useme "sasa nimeishiwa" usitegemee kuwa nitalewa! hahahahahahahahhahhahukikosea kukadiria ukaizidisha utakua kama kitwanga
pombe za ajabu sana, kuna mtu ye konyagi ni kama maji tu anaweza kunywa bapa mbili na akawa yuko sawa tu, ila juzi kanywa ki savannah kimoja chenye 7% alc, kalewa vibaya mno...hahahha, mie ni sugu huwa silewi, hata siku ukinikaribisha pombe ni wewe tu useme "sasa nimeishiwa" usitegemee kuwa nitalewa! hahahahahahahahhahhah
Labda kweli sijapata ya kunikamata! hahahahahahahahahapombe za ajabu sana, kuna mtu ye konyagi ni kama maji tu anaweza kunywa bapa mbili na akawa yuko sawa tu, ila juzi kanywa ki savannah kimoja chenye 7% alc, kalewa vibaya mno...
hujapata pombe kiboko yako mkuu
Nimekumbuka kutwanga[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mie nikinywa, halafu itokee nina presentation loooooh! yaani ninawasilisha kama sina akili nzuri, hahahahahah
napenda sana pombe! acheni kui disi vibaya
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛😛😛
ndio maana yakeHaa!... Unaama kwako ina faida nyingi kuliko hasara?