Kwa wale watumiaji wa facebook

SUPERUSER

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
960
299
[h=6]W A R N I N G .. ! !.....W A R N I N G .. ! ! If someone in your profile or a friend sends you a LINK that says 'VISIT THE NEW FACEBOOK' do NOT open it. If you do, you're sure to say GOODBYE to your Facebook account. This is actually a trap by a HACKER who steals your details and REMOVES you permanently from your own page. please COPY and paste it on your wall and send it to your groups too....[/h]
 

CHIPANJE

JF-Expert Member
May 1, 2011
321
52
Ahsante mkubwa.Dunia yetu ya leo inakumbwa na kila jambo_Ok nayo ni sehemu ya maisha.
 

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,062
291
ok , potelea mbali mi nikiiona nafungua nione!!!inaweza ikawa changa la macho!
 

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,176
8,103
W A R N I N G .. ! !.....W A R N I N G .. ! ! If someone in your profile or a friend sends you a LINK that says 'VISIT THE NEW FACEBOOK' do NOT open it. If you do, you're sure to say GOODBYE to your Facebook account. This is actually a trap by a HACKER who steals your details and REMOVES you permanently from your own page. please COPY and paste it on your wall and send it to your groups too....

Tatizo langu ni kwamba huwa napenda sana kuthibitisha kwa kuona kuliko kusikia. naomba mungu nisiipate hiyo link kwani am sure for 75% nitafungua tu!
 

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
9,182
8,134
hao ni ma-hacker wa kawaida akishakufungia anapata access ya profille yako then info zozote atakazoona zitamsaidia kupata chochote atazitumia,vile vile atatuma email kwa friends zako kuomba hela
 

Apollo

JF-Expert Member
May 26, 2011
4,902
3,077
Sasa wizi mwingine hauna hata maana, wanapata faida gani?
weeee! Huwa wanalipwa pesa za ukweli, hackerz wa facebook wengi wao wameajiriwa na 'my space'. Kuna jamaa mmoja ali'hack facebook ikashindwa kufanya kazi kwa muda, sasa hivi huyo jamaa ameajiriwa na facebook na anakula pesa nzuri tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom