Kwa wale watu walioapply diploma mwaka huu

Acheni kujichelewesha wakuu,kama hamna sifa ya kwenda digrii (those form six leavers) siwashauri kusoma diploma.Kachukue hii kozi ya OFP kwa kipindi cha mwaka moja pale chuo kikuu huria baada ya hapo ukifaulu unaingia digrii chuo chochote.
 
Acheni kujichelewesha wakuu,kama hamna sifa ya kwenda digrii (those form six leavers) siwashauri kusoma diploma.Kachukue hii kozi ya OFP kwa kipindi cha mwaka moja pale chuo kikukuu huria baada ya hapo ukifaulu unaingia digrii chuo chochote.
Siyo kwamba mtu amekosa first Round eti hana vigezo vya kuchukua degree


It's a matter of time...

Time will tell
 
Back
Top Bottom