Kwa wale wataalam wa staionery

Kwa wale wataalam wa staionery

Snowden E

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,709
Reaction score
3,028
Najua JF kuna wa taalamu wa kutosha kuhusu photocopy machines.
Kwa anaye jua aina tofauti za photocopy machines, naomba anipe muongozo.
Nina mpango wa kufungua stationery.
Location ni nzuri coz kuna chuo kikuu karibu Na raia ni wengi, so , wateja nitapata kama bei itawaridhisha.
Nahitaji photocopy machine yenye uwezo wa kutoa copy 50 au zaidi kwa dakika1.
Ni brand gani ambayo ni nzuri na bei ikoje.
NAJUA KUNA GOOGLE, KARIAKOO .NA SEHEMU KIBAO ZA KUPATA TAARIFA, ILA NIMECHAGUA HUMU JF.
JF NI CHUO KIKUU.
 
[emoji121]
NITAJIE HIYO LOCATION KWANZA
ILI NITHIBITISHE UNACHOKISEMA,

NDIPO TUANZE KUJADILI KUHUSU PHOTOCOPIER.
 
Najua JF kuna wa taalamu wa kutosha kuhusu photocopy machines.
Kwa anaye jua aina tofauti za photocopy machines, naomba anipe muongozo.
Nina mpango wa kufungua stationery.
Location ni nzuri coz kuna chuo kikuu karibu Na raia ni wengi, so , wateja nitapata kama bei itawaridhisha.
Nahitaji photocopy machine yenye uwezo wa kutoa copy 50 au zaidi kwa dakika1.
Ni brand gani ambayo ni nzuri na bei ikoje.
NAJUA KUNA GOOGLE, KARIAKOO .NA SEHEMU KIBAO ZA KUPATA TAARIFA, ILA NIMECHAGUA HUMU JF.
JF NI CHUO KIKUU.

Kama unaweza na hela ipo chukua Konica Minolta model nimesahau ila ni kubwa, ni expensive ila wino wake ni cheap unaweza Refil . Hii machine inapiga copy Kwa spidi ya ajabu. Unadumbukiza let’s pamphlet lenye page hata buku unakaa pembeni inamaliza kazi. Check watu wa Sunhleralex wapo mtaa wa jamhuri dsm .
 
Kwa photocopier mashine nzuri na za uhakika, tafura RICOH au CANON. Ukipata used yenye hali nzuri itafaa zaidi endapo bajeti haiuruhusu kwa sasa ila ukiweza mpya itapendeza zaidi, hazina usumbufu sana endapo utatilia msisitizo service.
 
Kama unaweza na hela ipo chukua Konica Minolta model nimesahau ila ni kubwa, ni expensive ila wino wake ni cheap unaweza Refil . Hii machine inapiga copy Kwa spidi ya ajabu. Unadumbukiza let’s pamphlet lenye page hata buku unakaa pembeni inamaliza kazi. Check watu wa Sunhleralex wapo mtaa wa jamhuri dsm .
Asante sana
 
Back
Top Bottom