Kwa wale wasiopenda kujikuta wanafanikisha Infidelity...

Hiyo system ya kufichaficha imepitwa na wakati siku hizi wanaotaka kucheat wanalezana ukweli LIVE. '' mimi nipo kwenye ndoa mwenzangu anaitwa fulani anafanya kazi sehemu fulani'' hivyo akitaka anyoe au asuke...........daaaaaah yaani bado kuna watu wanaongopeana tu???
 
Mmmhhhh wewe??!!
 
Lizzy dearest, utapeli wa mapenzi unazidi kupaa kila siku. Excuse nzuri kuliko zote ni ile ya ' we have separated, it aint working no more', so hataki ex wake ajue, kuna watoto etc. This lie works kwa wale ama wana ugomvi temporary na unachezewa akili wakati mwenzio ana-solve issues zake, or else mwenza wake yuko masomoni na ana kazi ndogo tu ya kudanganya wanae. U won't show everyone ur new date if u ar not yet divorced, can u?

Hahahahaa. . . .
Mahusiano haya, kaaaazi kweli kweli.
 
Unajua Smile,
Vijana siyo wabahili kama unavyosema.A single lad, has priorities and goals.
Spending money on a chick may not be his priority,
he would rather have you spend money on him lol.
Mume wa mtu, yeye anataka akupate kwa njia yoyote, abadili mboga lol kwa gharama.
Figure that out.

haya mauzoefu si mchezo...; i tend to agree with you to a large extent
 
Back
Top Bottom