Kwa wale wasio na usingizi tu!

Stress yangu ni huyu mdada nilompachika mimba kabla hatujaoana. yani najihisi kama nimeyakosea maisha. mda mwingine natamani mda urudi nyuma ili niweze sahihisha kosa hili.

Shida ni nini? Hakufai ama uchumi kwako hauko sawa?
 
Stress yangu ni huyu mdada nilompachika mimba kabla hatujaoana. yani najihisi kama nimeyakosea maisha. mda mwingine natamani mda urudi nyuma ili niweze sahihisha kosa hili.

Mh ulipokua unamwaga ndani si ulikua unaona raha?!

We jipange ndo ushakua Baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…