Kwa wale wapenzi wa Instagram

Kwa wale wapenzi wa Instagram

Nashukuru sana uzi wa jamii forum kwan nimeshafanya kazi na watu wawili sasa 😱
 
Things to buy when ur brain cells count is approaching to zero.
 
Things to buy when ur brain cells count is approaching to zero.

Kama ufanyi biashara u dont know the meaning of this and that's the reason why i won't bother to explain it to you
 
Yani kazi kama dawa kwa wanaodharau asanten kwa tunaoenda sawa nashukurun
 
Account zinauzwa jamani wapendwa,

Bei ni nafuu kila followers 1000 unatoa 10000/= tuu. Hii ni kwa watu wanaotaka kufungua account kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi. Utaponunua utapewa umiliki wa account na kama utahitaji elimu juu ya kuikeep in run utalekezwa ..
Karibun wateja 🙂

Zimeisha mkuu?
 
Wakuu kuna account ina 35,000 followers kwa shilingi laki tatu na nusu hii ni kwa heavy businesses lol
 
Kuna account ina 5000 followers anaeitaka PM
 
Habar naweza kupata number yako mkuu mm numbr yangu ni 0713485281
 
Back
Top Bottom