Kwa wale wapenda dada poa!!

Kwa wale wapenda dada poa!!

Duuh! Niwe na noah, na laki tano, haya changudoa wa nini? Sinatafuta mrembo mzuri tu mtaani kwetu au kwa jirani, kitu kuku wa kienyeji. Hayo ndio madhara ya kuanza mapenzi ukwubwani. Wengine wanalipa 50,000/= au zaidi eti bao moja kwa dada poa. Mungu wangu.

ni dereva alitaka kuosha ndani ya galaxy pub, na c mzoefu wa kulanduka ni amateur
 
Huyu jamaa ndio wale pamoja na kwamba huduma wanailipia, lakini bado wataanza kumtongoza changudoa.
 
Huyu jamaa ndio wale pamoja na kwamba huduma wanailipia, lakini bado wataanza kumtongoza changudoa.

si unajua watanzania wamezoea kupunguziwa bei kwenye kila kitu
 
Changudoa haandaliwi. Ukiwa na changu achana na uprofessional
 
Hahahahahaha!!!!
Kibarua analeta mbwembwe mbele ya injinia
 
Kwa wale ndugu wapenda dada poa/malaya au kwa jina lingine wale wasichana wanaojiuza mnatakiwa kuwa makini nao sana. Hii ni baada ya kijana mmoja ambaye ni dereva wa noah kujikuta akiwa rumande baada ya gari la tajiri yake kuibiwa. Taarifa zinasema kuwa tukio hilo limetokea hapa jiji arusha baada ya kijana huyo kwenda kwenye baa maarufu iitwayo galaxy na kumuopoa dada poa mmoja ambaye walienda kujivinjari na bila kujijua dereva huyu alinyonya matiti ya binti huyo bila taadhari yoyote kumbe yalikuwa yamepakwa madawa ya kulevya. Baada ya hapo dada huyu alimwibia gari tajwa hapo juu pamoja na fedha taslimu laki tano. Mpaka mda huu ninapowakilisha ripoti hii gari lililoibiwa limepatikana likiwa tayari limeshaanza kuchinjwa(kubadilishwa vitu) likiwa tayari lilishabadilishwa engine.

So stupid huyo jamaa...changu unamuandaa kama wife au girlfriend?jamani tujue mipaka..changu hachezewi ni mpira wako tu ngoma uwanjani...unatafuta umaarufu kwa muuzaji?
 
Kwa michngo hii kweli nimegudua wateja wako wengi wa dada poa
 
Duu hadi changudoa ananyonywa huyo jamaa naye hafai hata chumvini angeenda huyo.
 
hivi unachukua malaya unataka umfikishe, we unapiga unaondoka zako. unaonyesha ufundi wakati unalipia
 
ufundi mpelekee girlfriend au Mkeo, huko ndo pananoga na panatosha zaidi!
 
Ukitaka kuvinjari na changudoa zingatia yafuatayo:
1. Kichwani vaa Helmet
2.Puani na mdomoni vaa kibarakoa (Mask)
3. Mikononi vaa Gloves
4.Chini vaa condom
5.TWENDE KAZI!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom