Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
Kwa wale ndugu wapenda dada poa/malaya au kwa jina lingine wale wasichana wanaojiuza mnatakiwa kuwa makini nao sana. Hii ni baada ya kijana mmoja ambaye ni dereva wa noah kujikuta akiwa rumande baada ya gari la tajiri yake kuibiwa. Taarifa zinasema kuwa tukio hilo limetokea hapa jiji arusha baada ya kijana huyo kwenda kwenye baa maarufu iitwayo galaxy na kumuopoa dada poa mmoja ambaye walienda kujivinjari na bila kujijua dereva huyu alinyonya matiti ya binti huyo bila taadhari yoyote kumbe yalikuwa yamepakwa madawa ya kulevya. Baada ya hapo dada huyu alimwibia gari tajwa hapo juu pamoja na fedha taslimu laki tano. Mpaka mda huu ninapowakilisha ripoti hii gari lililoibiwa limepatikana likiwa tayari limeshaanza kuchinjwa(kubadilishwa vitu) likiwa tayari lilishabadilishwa engine.