Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Status
Not open for further replies.
Ni rahisi sana mtu kusoma unachofikiri..... kuna matatu umewah toka na mume wa mtu bila kujua na ukaumia sana....2. Kama umeolewa mumeo anapiga nje na umefaham hilo 3. Kama hujaolewa umetemwa na wanaume wengi kwa sababu ya kufikiri maisha yasiyokuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huamini kua haya mambo yanatuzunguka. Kuongelea kitu haimaanishi ndio kimekukuta. Wasichana wengi wanaona mume wa mtu ndio mtaji. Lakini kwanini asimuache mkewe akakuoa wewe.
Najua kua wanaume ni viumbe dhaifu sana mbele ya mwanamke hiyo ni asili kabisa tangu kwa Adam. Ndio maana ushauri umeenda kwa wasichana watafute wanaume zao wenyewe sio wahangaike na wame za watu.
 
Ushauri wake kama ilani ya chama Fulani hiv in ngumu sana kupractice for sure

Mpe anae kupa
 
Goodafternoon...I hope you are all having a splendid weekend.
Straight to the point, this is special for my fellow women and girls.Kuna wadada wanatembea na wanaume za watu but wengine wanatamani kuacha but inakuwa ngumu sana simply because you are in love already and I won't blame you.Ila put yourself in the wife's shoe halaf ujipe majibu.. ( I wont talk much) but pia the worst part inayouma ni kutembea na mume wa mtu and yet you are aware anampenda saaanaa mkewe not to mention kamzalia very beautiful kids and anaipenda sana familia yake na nyege zake zikizidi anatafta kigenerator chake ambacho ndo wewe anamalizia zingne anaweza kumwachia his lovely wife zingne za usiku ..lol..And still bado unangangania in the name of love or perhaps MONEY as usual but still I won't blame you.Na siku nyingne unasikia baridi usiku au una minyege but mwenzio ndo kakumbatiwa... Hapohapo perhaps kwake hupajui na mkewe humjui anafananaje but ukasearch wewe mwenyew unavyojua kwenye social networks unakutana na jamaaa anavyompost mkewe ad harusi aliweka but wewe unampa utamu gizani ila hadharani wanamjua MKE au pengne anakuintroduce to his foolish friends who are just like him and you feel proud cuz you are a side chick but they see you as the side bitch huku wanakuchekea chekeachekea kinafiki.

Sasa basi niko na wale tu ambao they don't want this anymore and are really fighting hard kuachana na hii hali but still go back cuz of their reasons or being in love.Darling you are vulnerable and remember age will not wait for you ooooo...mwingne eti ndoa kakuahid so you are waiting lol...if he is willing to leave his wife for you what do you think he will do to you? So just tune your mind to your success .Usiwe idle not for a second because utakua unamuwaza..keep yourself busy maaa focus on your work kama hauna tafta biashara futa namba zake..And learn how to spoil yourself, take yourself out nenda mall kafanye window shopping mind you kwenye malls hakuna hata bei yale ni majengo tu au you go find yourself siku za discount then treat yourself well.Au jifanye shopping sehem ambayo unaridhika mayo.Eat well, fanya mazoezi, jipeleke sehem nzuri have a different lifestyle jipende dada make yourself look good and beautiful and be proud of your feminism..On week days tafta Ankara( pesa) mama usikubali mwanaume akugalagaze kisa pesa kwanza ukitafta kwa Jasho lako you will feel proud kuzitumia na utazitumia kwa adabu.Remember love will come around when least expected na usiwe kikwazo kwa mwanamke mwenzio kwa kuingilia ndoa yake haikuhusu kama ni ya furaha au karaha.
Nawapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mgumu sana. Na wewe jifanye kuwa pekee yako na pesa zako bila mwanaume wa kukuondolea stress uone kama utaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too late for the morning bus.... Pambana na hali yako let them wapambana na hali zao... Maisha magumu mkuu ukishikwa shikiria
Sijui ww n jinsia gan kama ni ke basi mumeo atakua anachepuka the best you can do n kutulia na kujiulza ulpokosea hadi akaenda nje kama huna kosa basi jua it runs in the blood of men kuchepuka...

Listen to me very carefully..I NEVER ARGUE WITH ILLITERATES....Sawa? Nenda kwa mwalimu wako angalau wa darasa la tatu akueleweshe Uzi vzuri..Sawa dogo? Japo kiumri siyo dogo bali kifikra[emoji13]

Illiterate ni asiye jua kusoma na kuandika. Lakini yeye ameandika hapo au umemwona akiandikiwa ?? Hahaha.

Labda ungesema ana [HASHTAG]#low[/HASHTAG] cognitive ability#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Listen to me very carefully..I NEVER ARGUE WITH ILLITERATES....Sawa? Nenda kwa mwalimu wako angalau wa darasa la tatu akueleweshe Uzi vzuri..Sawa dogo? Japo kiumri siyo dogo bali kifikra[emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
Its not about being illiterate au literate here mkuu!its obvious haya mambo hujaanza zungumzia wewe ppo wameongea but haijachange anything just chill and enjoy your plate its nive ukiwakumbusha ukwel but it doesn't make any sense mayb in your family kuna dadako,au ndugu yako antembea na mume wa mtu and she is happy and anakuzid vtu vng kama n kuumia emotional watu hawajaanza leo you will speak and keep quite but wanaume hao unaowasema ndo chachu kama wangetulia na ndoa zao hayo yacngekuepo... Wangejua thaman ya wake zao hakuna ambae angechepuka na mume wa mtu... Deal with married men and kuna married women wanachepuka did you speak to them au unatoka Povu kuhusu kuelewa while umekalilishwa! Just chill and mind your life mkuu haya maisha yana mengi just pray to God uione pepo that's important! Hahahahahahhahah et nirud shule you go bak to skul and learn some new words to tell ppo hzo washazizoea! Huhuhuhuhuhuu

Kama kwako siyo muhimu kwa wengine ni muhimu and perhaps ushauri wangu utawasaidia watu wawili au watatu atleast nimeleta positive change katika maisha ya mtu...Not like you vomiting nonsense here na kukariri maisha..After all I have played my part take the important part and leave the trash to myself... Leo nazungumza na wanawake wenzangu ...kama wewe una ushauri kwa wanaume anzisha kithread chako huko

Huhuhuhuhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom