Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Status
Not open for further replies.
Yaani unatia aibu siwezi hata kubishana na mtu kama wewe.....you act cheap and think so cheaply...eti mume wangu hiyo ndoa ulifunga wewe?.Wanawake wengine em jifunzeni kujiheshimu hata kwa kufake.So unakuja hapa kutetea nini sasa? Yaani huna hata point you are rubbish...Nishakwambia nyie wadangaji sina time na nyie am talking to some sweet girls willing to change not to cheap prostitutes like you.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha kuna ndoa siku hizi au hiyo mikaratasi mnayojiliwaza nayo mume wa mtu maumbile yake yanajulikana mpaka na house girl ebu kwendeni huko. mtu mpaka aweze kutanua miguu ina maana hajui afanyalo hiyo advice wapege hao wanao wahusu
 
hahahaha kuna ndoa siku hizi au hiyo mikaratasi mnayojiliwaza nayo mume wa mtu maumbile yake yanajulikana mpaka na house girl ebu kwendeni huko. mtu mpaka aweze kutanua miguu ina maana hajui afanyalo hiyo advice wapege hao wanao wahusu
Kumbe je ulidhani ushauri wa nani? Ni kwa wale tu ambao wako willing kutoka kwenye dimbwi hilo...ila siyo kwako cheap whore[emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaume nao tatizo utasikia sijaoa wala sina mwanamke ndio nataka nifanye maisha na wewe hawa wangetusaidia kwanza kuwawakweli kwenye mitongozo
Wengine wanasema mkiambiwa ukweli huwa mnakataa, na yeye mwanaume most of the time anakuwa kashavutiwa na wewe
 
kwa akili yako mtu mpaka anaamua kutembea na mume wa wenyewe anakuwa hajui atendalo
Hivi hili lidada linaongea nini? Umeelewa thread yangu vizuri lakini? Kwan kuna aliyekukataza kutembea na mume wa mtu? Labda shida ni lugha dah nenda Google kwenye kisimu chako watakutafsiria..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utamu wa mume wa mtu hauelezeki
Yani kati ya watu wote waliocomment kwenye hii thread... wewe ndio jiniaz kuliko wote...

Nadhani huu msemo "mme wa mtu maziwa"... wanawake wengi hawajaujua.

Haramu ni mke wa mtu bhana, mwanaume ni wa wanawake wote isipokuwa mama, dada, mtoto na bibi.

Hebu twende zetu PM tukamalizie huu mjadala kwa kina bila kuudhi wanafiki
 
Screenshot_2017-08-26-16-09-05.png


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its not about being illiterate au literate here mkuu!its obvious haya mambo hujaanza zungumzia wewe ppo wameongea but haijachange anything just chill and enjoy your plate its nive ukiwakumbusha ukwel but it doesn't make any sense mayb in your family kuna dadako,au ndugu yako antembea na mume wa mtu and she is happy and anakuzid vtu vng kama n kuumia emotional watu hawajaanza leo you will speak and keep quite but wanaume hao unaowasema ndo chachu kama wangetulia na ndoa zao hayo yacngekuepo... Wangejua thaman ya wake zao hakuna ambae angechepuka na mume wa mtu... Deal with married men and kuna married women wanachepuka did you speak to them au unatoka Povu kuhusu kuelewa while umekalilishwa! Just chill and mind your life mkuu haya maisha yana mengi just pray to God uione pepo that's important! Hahahahahahhahah et nirud shule you go bak to skul and learn some new words to tell ppo hzo washazizoea! Huhuhuhuhuhuu

Sent using Jamii Forums mobile app
I think wake za watu wanachepuka zaidi kuliko waume wa watu au labda nimekosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo kina Dada. / mama ndo wanajilegeza kwa maneno na maungo yao wakianzia na Macho ,matiti, kiuno,mgongo na mapaja wakiyanogesha kwa vinguo vifupi.

Matendo yao hayo yanasababisha vijana/wazee kushindwa kuruka vikwazo hivyo na kuamua kutest zari , bila hiyana mambo yanajipa na kukolea sasa nani? Alaumiwe kama unavyojua mlamba asali halambi Mara,,,,,,,,,,,,,,,
 
Hivi hili lidada linaongea nini? Umeelewa thread yangu vizuri lakini? Kwan kuna aliyekukataza kutembea na mume wa mtu? Labda shida ni lugha dah nenda Google kwenye kisimu chako watakutafsiria..

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaha kwa lugha gani ngumu hapo kwendaga huko na ushauri wako wa kijinga kama mtu anaumia anachezewa sijui mavitu gani, ye si mtu mzima acha aamue acha kiherehere. nyt nyt ebu nmpe mume wa wenyewe kabla hajaenda mkumbatia mkewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom