Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Status
Not open for further replies.
Mada haijabalance? Kwan nimekuja kubalansisha hapa ? Does this look like a chemical equation Mpaka ibalance?...wewe anzisha kathread kako huko ukabalansishe# usinipangie babu# narudi[emoji124] some people can be so funny abegooooo...balance my foot...do you know what balance is? Kwikwikwi

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahahaha penyewe hapo. Anyway na Ka English kako ka maji ya kunywa usijali Umesikika kuwa wachukuliwa mume. Mchepuko ni Dili maana mkizaa mnakuwaga viburi KAZI UNAYO
e2648fd23d192a2470fc2ed13783f8a7.jpg
3f8241a1062aba1d8949bafeced2c958.jpg
81568ae55347c619d3b9c539ee835696.jpg
 
Ndoa ni jambo la heshima na baraka sana. Lakini tambua kila mwanamke ana nafasi sawa kwa mwanamke yeyote yule bila kujali hadhi yake katika jamii ndiyo maana hata house girl anaweza umtoa mama wa nyumba kwenye ndoa aliyekuwa boss wake na kuishia kuremba kucha na kuchati.
Awe na mke au asiwe nae atajijua yeye na hali yake sitaki hata kujua akiwa kwangu sifanyi kosa bora anasababisha mambo yanaenda na ananitoa stress na depression. Tuendelee kuvumiliana na kubanana tugawane riziki, Wanawake mapendo shoga," Pambana na hali yako", jiulize kwa nini kakuacha na kaja huku nje. Akupost asikupost hizo ni mbwembwe tu cha msingi tunagawana posho mummy.
 
Kila mwanamke ana nafasi sawa kwa mwanamke yeyote yule ndo maana hata hous girl anaweza kumtoa mama wa nyumba kwenye ndoa anayekaria kuremba kucha na kuchati.
Awe na mke au asiwe nae atajijua yeye na hali yake sitaki hata kujua akiwa kwangu sifanyi kosa bora anasababisha mambo yanaenda na ananitoa stress na depression. Tuendelee kuvumiliana na kubanana tugawane riziki, Wanawake mapendo shoga," Pambana na hali yako", jiulize kwa nini kakuacha na kaja huku nje. Akupost asikupost hizo ni mbwembwe tu cha msingi tunagawana posho mummy.
Aya umesikika japo sina muda wa kusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengine mtajibiwa kesho.Kwa wale wenye matusi bila kujua kosa langu ni lipi nishasema siwaachi aya pangeni foleni nitawakuta...Narudia soma Uzi vizuri ukikugusa take it and thank me later ukiona hauna maana niachie mashairi yangu sitaki ushauri uchwara...usiku mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji8] [emoji7] [emoji324] [emoji322] [emoji323]
Umetoa ushauri mzuri sana hongera na usiku huu uwe mwema kwako pia.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom