Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Kwa wale wanaotembea na waume za watu

Status
Not open for further replies.
sorry its bitch not biatch [emoji13] and the bitch here is you.Tatizo mnakurupuka mnashindwa kusoma kitu vzuri na kuelewa..Aya bitch bye.

Sent using Jamii Forums mobile app
ASANTE MKUUU UNAMAJIBU MAZURI SANA ...SHIDA YAWENGI NMEONA WANASHINDWA KUELEWA ULICHOAANDIKA ,, NAHII NISABABU EITHER MATUMIZI YA LUGHA MBILI ,, NAPIA KUSOMA KWA KURUKA ,,WENGI HAWAJASOMA MWANZO MPAKA MWISHO YAAN WAMWISHIA KUSOMA UTANGULIZI WAKARUKIA MWISHO KWENYE HITIMISHO ,,,,

KWAIYO NAZIDI KUKUTIA MOYO ,, KAMA WAMESOMA MWANZO MWISHO BASI SOMO WAMELIELEWA YAAN LIMEWAINGIA SAWA SAWA .KWAIYO USITIKISWE .

nmekuambia saikolojia inaonyesha watu hushabikia vitu wanavyovipenda/kuvifanya ...sasa km anakifanya aunkukitenda ningumu mno kukubaliana naww !!! Endelea kuwasomesha shule....
 
Huu Uzi wako umewaingia both watumiaji na wanatumiwaji !!! Kwaiyo twende pole pole wasije wakaufuta wakati nibonge lauzi ...nmelisasikiraibu.
 
Punguza kisirani binti, sijakosea hapo, uache kukariri mambo. Vipi ni kweli nini!! Mbona kama umepanik!!!!
Mimi nipanick kwa lipi? Wenzio washakaa na wewe naona unatafta kukalishwa...Hujaitwa babuuu weee... Eti hujakosea....karma is a bitch not biatch upo? Hiyo biatch kweli ndo ulifundishwa na mwalimu wako wa darasa la nne? [emoji23][emoji23] Next time usikurupuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ASANTE MKUUU UNAMAJIBU MAZURI SANA ...SHIDA YAWENGI NMEONA WANASHINDWA KUELEWA ULICHOAANDIKA ,, NAHII NISABABU EITHER MATUMIZI YA LUGHA MBILI ,, NAPIA KUSOMA KWA KURUKA ,,WENGI HAWAJASOMA MWANZO MPAKA MWISHO YAAN WAMWISHIA KUSOMA UTANGULIZI WAKARUKIA MWISHO KWENYE HITIMISHO ,,,,

KWAIYO NAZIDI KUKUTIA MOYO ,, KAMA WAMESOMA MWANZO MWISHO BASI SOMO WAMELIELEWA YAAN LIMEWAINGIA SAWA SAWA .KWAIYO USITIKISWE .

nmekuambia saikolojia inaonyesha watu hushabikia vitu wanavyovipenda/kuvifanya ...sasa km anakifanya aunkukitenda ningumu mno kukubaliana naww !!! Endelea kuwasomesha shule....
Tatzo ndo hilo...watu wanakurupukea..eti mtu kabisa ananiandamaa eti tuachie waume za watu hehehe as if nimewashika afu ni mwanamke na akili zake si ukae tu kimya kwani lazima uoneshe Jamii kwamba ni cheap whore...some people are so dumb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatzo ndo hilo...watu wanakurupukea..eti mtu kabisa ananiandamaa eti tuachie waume za watu hehehe as if nimewashika afu ni mwanamke na akili zake si ukae tu kimya kwani lazima uoneshe Jamii kwamba ni cheap whore...some people are so dumb

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole pole watakuelewa ikiwa utataka wakuelewe ,,shida yenu wote mnajitia mnaelimu ,,sasa hamna lamaana mtakalotoka nalo hapa zaidi ya mabishano .
 
Hili suala sijui Kwa nini hujitokeza kila mara humu kutoka Kwa watu ambao wamekula maharage Yao Tu wakakosa la kufanya na kuja kuwatisha na kuwafundisha wengine mambo ya mapenzi as if wao Wana vyeti ya somo la Ndoa na mapenzi.
Hili Jambo liko so complicated kiasi sioni kama kuna mtu anajibu sahihi.
Ukweli ni Bora muache watu waishi maisha yao kuliko kuwatisha Tisha kila siku kama vile mtawapa huo ugali nyie na mtawahudumia nyege zao.
Halafu sasa sijui Kwa nini mnapenda kuongelea wasichana Tu kutembea na waume za watu wakati wake za watu wanatembea na viben Ten kama hawana akili nzuri.
Nijuavyo Mimi Ndoa sio mapenzi, ila ni kukaa pamoja Tu na kuzalishana. Ukibahatika ukapata Ndoa na mapenzi then you are very lucky, tatizo Ndoa zilizotimia kiasi hicho ni chache, wengi wanaishi Kwa vile walishaoa au kuolewa Tu.
Pia msisahau watu huoana mara nyingi ktk umri ambao sio wazoefu Sana wa mapenzi, only kuja kugundua kumbe mke au mume hata kumkojolesha hawezi, au ataugua, au ajali au kipato.
So acheni uongo ingawa ni kweli kunadanganya dangaya nyingi kwenye mapenzi ila hii IPO hata Kwa singles, wanandoa nao hupenda kabisaaa kama binadam wengine na wapo wasanii pia kama kawaida.
Ushauri wangu wa mabinti na Viben Ten ni kwamba shikilia ulicho Nacho mkononi, cha porini hukujui, maisha hanaga formula, utasubiri Ndoa mpaka USO ukushuke na muda huo it will be too late. Ishi Leo kesho anajua Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipanick kwa lipi? Wenzio washakaa na wewe naona unatafta kukalishwa...Hujaitwa babuuu weee... Eti hujakosea....karma is a bitch not biatch upo? Hiyo biatch kweli ndo ulifundishwa na mwalimu wako wa darasa la nne? [emoji23][emoji23] Next time usikurupuke

Sent using Jamii Forums mobile app
Binti hiyo ni slang, and ipo sawa kabisa. Basi nishukuru kwa kukufundisha kitu kipya leo sio unaendelea kushupaza shingo.
Oooh! Kumbe ulikuja kukalisha watu!!!!
 
Binti hiyo ni slang, and ipo sawa kabisa. Basi nishukuru kwa kukufundisha kitu kipya leo sio unaendelea kushupaza shingo.
Oooh! Kumbe ulikuja kukalisha watu!!!!
Kumbe nawe huvumi lakini umo enh?

Shkamo mwalimu...

Naona unatoa darsa la ungwini hapa...
 
Mada haija balance, Nakushauri unapotoa mada jaribu ku balance na ujitoe wewe Kama wewe kwenye uhusika au Kama unajiweka jiweke wewe tujue sio Kama mafumbo wapo wanaume wapenda wake ZA watu Pia na wapo wanawake unaowazungumzia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom