[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona umetafuta kutukanwa...
Usije ukasema sijakuonya...
Kuanzia page ya kwanza ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe alijipanga kuja kutusi humu babu, mie sikujua. Mekutana na matusi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huoni kama ntakua nimejitafutia matatizo?
Look at this one now? Si uanzishe thread yako huko utoe yaliko moyoni ..Usinipangie cha kupost...ok byeHili suala sijui Kwa nini hujitokeza kila mara humu kutoka Kwa watu ambao wamekula maharage Yao Tu wakakosa la kufanya na kuja kuwatisha na kuwafundisha wengine mambo ya mapenzi as if wao Wana vyeti ya somo la Ndoa na mapenzi.
Hili Jambo liko so complicated kiasi sioni kama kuna mtu anajibu sahihi.
Ukweli ni Bora muache watu waishi maisha yao kuliko kuwatisha Tisha kila siku kama vile mtawapa huo ugali nyie na mtawahudumia nyege zao.
Halafu sasa sijui Kwa nini mnapenda kuongelea wasichana Tu kutembea na waume za watu wakati wake za watu wanatembea na viben Ten kama hawana akili nzuri.
Nijuavyo Mimi Ndoa sio mapenzi, ila ni kukaa pamoja Tu na kuzalishana. Ukibahatika ukapata Ndoa na mapenzi then you are very lucky, tatizo Ndoa zilizotimia kiasi hicho ni chache, wengi wanaishi Kwa vile walishaoa au kuolewa Tu.
Pia msisahau watu huoana mara nyingi ktk umri ambao sio wazoefu Sana wa mapenzi, only kuja kugundua kumbe mke au mume hata kumkojolesha hawezi, au ataugua, au ajali au kipato.
So acheni uongo ingawa ni kweli kunadanganya dangaya nyingi kwenye mapenzi ila hii IPO hata Kwa singles, wanandoa nao hupenda kabisaaa kama binadam wengine na wapo wasanii pia kama kawaida.
Ushauri wangu wa mabinti na Viben Ten ni kwamba shikilia ulicho Nacho mkononi, cha porini hukujui, maisha hanaga formula, utasubiri Ndoa mpaka USO ukushuke na muda huo it will be too late. Ishi Leo kesho anajua Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuanzia page ya kwanza ....
Leo nimepata kamusi ya matusi...
Ole wake mtu anitusi...
Hapa hadharani yako ya namna hii... kwa room si atanitukania mpaka kinyeo changu??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babu siku ile si uliniambia huwa inanoga zaidi kukiwa na matusi kidogo? Haya sasa ushindwe mwenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa hadharani yako ya namna hii... kwa room si atanitukania mpaka kinyeo changu??
Nashauri kila mmoja akajaribu bahati yake kumposa kisura huyu..sasa sijui ni already booked au bado teh tehHahahaha kwahiyo unatushauri nini sisi wazee wa fursa??
Mada haijabalance? Kwan nimekuja kubalansisha hapa ? Does this look like a chemical equation Mpaka ibalance?...wewe anzisha kathread kako huko ukabalansishe# usinipangie babu# narudi[emoji124] some people can be so funny abegooooo...balance my foot...do you know what balance is? KwikwikwiMada haija balance, Nakushauri unapotoa mada jaribu ku balance na ujitoe wewe Kama wewe kwenye uhusika au Kama unajiweka jiweke wewe tujue sio Kama mafumbo wapo wanaume wapenda wake ZA watu Pia na wapo wanawake unaowazungumzia
Mkuu hebu anza wewe afu utupe mrejesho...Nashauri kila mmoja akajaribu bahati yake kumposa kisura huyu..sasa sijui ni already booked au bado teh teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana asee... acha nichepuke na wakubwa wenzangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babu acha kuvunja mbavu zangu. Kwani hata utayasikia sasa! Utakuwa umenogewa.
Bana achana nao ,kwan we nimtaalamu wa lugha mpaka ujue acronym/slang mbali mbali ???? Najua wamekuelewa tena wamekuelewa kabisa .....
[emoji28][emoji28][emoji28]Tatizo wanaume tupo wachache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana asee... acha nichepuke na wakubwa wenzangu
Hapana... nilikuwa mwana mpotevu. Nimeamua kurudi nyumbani kwa amani...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si ulikuwa unatunanga wazee wenzio! Haya sasa zigo hilo kahangaike nalo.
Its okay my dear thankyu...you can rest some people can make me to laugh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengne wananiletea habari za kubalance [emoji23][emoji23] am just enjoying this.Have a goodnight.Bana achana nao ,kwan we nimtaalamu wa lugha mpaka ujue acronym/slang mbali mbali ???? Najua wamekuelewa tena wamekuelewa kabisa .....
Acha kumlazimisha punda kunywa maji wakati umemfikisha ziwan.
The truth is ,, humu JF kuna aina hii ya wanawake
1-mabinti ambao hawajaolewa (wanawachuma au hawana lkn kwaufupi hawajaolewa ) kwaiyo hii imewahusu.
2-Wanawake ambao wameolewa ( niwachache sana kiasi kwamba naweza sema ni negligible yaan in percentage ni 0.0001% so nawaneglet hawa. ( nawaneglat kwasababu kitanzania mke wamtu anayejielewa huwezi kumwona anashinda mitandanao 24 hrs anamambo mengi mnooo ,,nahata wanaume zao huwa hawawaruhusu kusocialize na hii mitandao "
3-Single mother hawa niwengi sana humu Jf wengi mno ,, wengine hawataki waonekane nisingle mother nawengine wanajiweka wazi kua nisingle mother ( BTW non of my stuff ,,,,).
Sasa kwa makundi namba 1 na 3 ndio makundi ambayo huu Uzi umewaingia sana sio wote ,ila baadhi yao Uzi umewagusa ,, kwamaana hiyo huwezi kukwepana na mapovu .
Wanaume.
Hawa humu Jf ambao hawajaoa niwengi sana ,nawalioa niwachache ...wanaume single father niwachache sana humu JF kwaiyo nao nawaneglet I.e asilimia yao ni 0.0001 % .
Sasa huu Uzi umewakamata wanaume mabachela na wanaume walooa ambao wengi wao ndio watumiaji wahawa mabinti wadogo yaaan utasikia anasema " kabinti kabichiiii kananiwndesha "
Kwaiyo mtoa mada niukweli usopingika kua ,,utakutana namapovu ya kila aina ktk huu Uzi ..jiandae tukujibu .
Nachokusifu ,hutaki kushindwa since nobody is perfect that mean mumeo itabidi awe mnyenyekev sana ,,lkn naye akiwa asokubali kushindwa ,mtadundana tu ...that's life !![emoji382] [emoji382] [emoji382]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana... nilikuwa mwana mpotevu. Nimeamua kurudi nyumbani kwa amani...