Heee!!!!! my wewe, mbona unahila hvo???????
Wenzio hisabati zinatusumbua, tumeamua kuzisoma 24hrs ili change isitushinde jamani, mmh!!
Honey Faith asiposema ntasema mimi. Mnafanya tabia mbaya hadharani kabla hamjafanya utafiti.
Honey Faith asiposema ntasema mimi. Mnafanya tabia mbaya hadharani kabla hamjafanya utafiti.
Wanahitaji tiba ya Asprin kutwa mara tatu

Sio hila tatizo nina mlinda mdogo wangu.Na huyo mwalimu wako sijui yuko wapi bora umuite mniombe msamaha:banghead:
Zilishapigwa marufuku
Mwalimu anasahisha home work jamani. utafiti ukuje huku, maana ujeleze, tena uje kwa utulivu maana hali ni mbaya huku.
Basi na hili jina nalo lipigwe ban
Asante kwa kuniunga mkono my babu yangu weee.Mie nimewaambia vizuri ila wanaleta ujeuri si bora niseme tu😀
Kama vipi tuwaloge kabisa shenzy taip zao na nusu.... wanaleta mapepo kwenye nyumba ya ibada
Tuwape nafasi ya kutubu kwanza
Ndomana tumehamia pm, natafuta sehemu salama zaidi ya pm nadhan wozap inafaa sana