Kwa wale wanaosuburi chance za JWTZ

Simbamteme

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
784
2,063
Habari nilizozpata kutoka chanzo makini ni kuwa JWTZ hawatatoa nafasi mwaka huu,na hata km zikitoka ni kuanzia mwezi wa 9 kuendelea...MAJESHI yatakayotoa ni POLISI(zishatoka wiki iliyopita) na MAGEREZA...FIDFOC,sina uhakika..naomba kuwasilisha
 
umeuliza il uambiwe lin zitatoka na wadau au ckuelew na umesema mwaka huu hawatatoa post mara mwez wa 9 mbna unakuwa uelewek
 
nadhan watatoa nafasi za ffu na polisi maana kwa hali ilivyo kulinda amani inahitaji uwekezaji wa nguvu kubwa, everbody is unhappy na migomo kila kona!
 
Habari nilizozpata kutoka chanzo makini ni kuwa JWTZ hawatatoa nafasi mwaka huu,na hata km zikitoka ni kuanzia mwezi wa 9 kuendelea...MAJESHI yatakayotoa ni POLISI(zishatoka wiki iliyopita) na MAGEREZA...FIDFOC,sina uhakika..naomba kuwasilisha

Ndugu naomba details zaidi kwenye hizo nafsi za polisi.unaenda ku-aply ccp au hata kwa wakuu wa polisi wilaya na mkoa watakuwa na link?
 
wanajamii, JWTZ sijui. ila kuhusu police, mimi ni mwalimu. form za kujiunga na police zililetwa mashuleni
wakihitaji form six na wengineo wanaotaka wajaze. baada ya week mbili walirudi na kuzikusanya. labda
wana genda nyingine, sijui.
 
Back
Top Bottom