Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,329
- 33,138
Mkuu atakubari kutumia kinga?
hao hawana ukimwi. labda ukawaambukize wewe binadamu. ila hata hivyo hawapati ukimwi kwa mana wao hawana damu mwilini. na wameumbwa kwa moto.
Mkuu amini usiamini kuna binadamu wana uhusiano wa karibu na binadamu.Nani anataarifa za huakika na hayo madubuasha coz niviumbe visivyoonekana ss inakuwa kama tamthilia ya kusadikika
Mkuu mbona unapenda sana machine tight?faida yake ni nini?Nasikia wana mashine tight sana hao wajamaa!!!
Hapa MziziMkavu anabidi atoe maelezo ya kutosha!Hv umejuaje picha ya jini inakuwa hivyo ?
Mkuu kuna binadamu wanaroho ngumu sana,utasikia anakwambia huyu ni mrembo sana!hivi ukikutana nalo unaliona kama lilivyo hapo kwenye picha mbona linatisha