Kwa wale wanaopenda Majini Mahaba huyu ndio jini mahaba mwenyewe

hao hawana ukimwi. labda ukawaambukize wewe binadamu. ila hata hivyo hawapati ukimwi kwa mana wao hawana damu mwilini. na wameumbwa kwa moto.
Mkuu kama hawana damu basi inawezekana siyo watamu kimapenzi,maana damu ndiyo inayotia joto kwenye 'K'!
 
Huyo hawezi kua jini wakweli ni picha tu ya kuchora...maaana hivo viumbe vinatisha sana... Binaadam hatuwezi kuwaona katika maumbile yao halisi, that's y hua wanajinasibisha na viumbe wengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom