Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
nimeona hili tangazo fb kama sikosei
Harafu ameshaichanganya na sukari ya miwa kwa kuichemsha!!!!Hakuna lololote asali inafanya sema unauza tuu kama kiburudisho au kinywaji. Hii asali inavyopambwa ni kama , Mayai ya kware, ufugaji wa kuchi, ufugaji wa sungura,
Ni kweli asali ukipasha moto sana inapoteza virutubisho, sio asali pekee hata mboga ukichemsha sana zinapoteza virutubisho muhimuASALI unawezaje kutumia kama chakula ninaambiwa ukiweka kwenye cha au uji au chakula chochote chenye joto tayari ASALI inaharibika na kutengeneza sumu kwa anaejua atuelimishe kidogo hapa tusiojua