INAUZWA Asali Mbichi (Mamaland’s Organic Honey)

Emmado

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
209
215
Kwa mahitaji yako ya asali mbichi …
Asali hii kutoka katika msitu wa Kigosi … ni asali salama sana kutokana na kuvunwa mbali na makazi ya watu kwa zaidi ya Km 50…
(Organic Honey)…
Bei zake ni
~ 300gm = 4,000/=
~500gram = 6,000/=
~ 1000gram= 10,000/=
~ 1 litre = 12,000/=
~ 5 liters = 50,000/=
~ 20 liters = 170,000/=

Piga 0766329970,
WhatsApp 0786693339

Karibuni sana
IMG_7655.jpg
 
Karibuni sanaView attachment 2776927

Kutambua Asali mbichi unaweza kutumia mbinu zijuatazo rahisi..
1. Chukua njiti ya kiberiti loweka kwenye asali kisha washa.. ikiwaka ujue asali hiyo ni halisi haijachanganywa na maji wala chochote.

2. Imimine kwenye glass ya maji asali halisi itashuka yote chini ya glass haitachanganyika na maji kirahisi. Pia wakati unamimina Asali halisi huwa haikatiki kama vimiminika vingine kirahisi.
 
IMG_7654.jpg
 
Mkuu we ni mtaalamu hasa wa asali kiboko ya wanaochakachua
 
Mkuu we ni mtaalamu hasa wa asali kiboko ya wanaochakachua

Asante!
Watu wapate first class honey!!

Kwa majina mengine huitwa asali ya mezani (table honey!)
Ni asali ambayo haina mchanganyiko wowote na vichafuzi..
Coz inapovunwa ni more than 40km kutoka makazi ya watu hivyo nyuki hawezi kusafiri umbali huo kufata vywakutengenezea asali..

Kwa faida ya wengi …
Asali zipo za aina kadhaa..

Daraja la kwanza asali ya porini haswaa( wilderness Honey)
~ asali hii hupatikana kwenye misitu minene ambayo ni mbali sana na makazi ya watu kuanzia 20km na kuendelea.
Asali hii imegawanyika katika makundi mawili pia,
kundi la kwanza hili ni asali inayovunwa kwenye mapango ya miti au miamba . . Au sehemu yoyote ambayo haijaandaliwa na binaadamu.

Kundi la pili huvunwa katika mazingira hayo hayo ila kwenye mizinga ya asili ukiachana na hii ya kisasa inayopakwa rangi nyeupe.

NB :- Asali hizi ni namba moja kwa ubora hata bei yake kwenye masoko ya kimataifa ipo juu.

Daraja la pili ni asali inayovunwa kwenye makazi ya watu au maeneo yanayofugwa nyuki kisasa au kienyeji …

- Mara nyingi asali hii huwa anachangamoto kwasababu nyingi huwa na vitu vingi ambavyo vinaifanya kutokua safi na ule uasili wa asali unakua hamna .. vitu kama viwatilifu vya mazao, uchafu wa binaadamu na n.k

Kujua yote haya ni lazima asali hii ikapimwe na kuangaliwa vitu ilivyobeba..
Na mara nyingi asali ya hivi hutakiwa kwenda kutumika kwa shughuli za viwandani…( sio asali ya kuweka mezani na kula)

Asante karibu asali.. asali..
PURE ORGANIC HONEY!
 
Nimependa jina ulilotumia MAMALAND, mimi pia nina unga lishe nimeuita hivyo hivyo sasa hapa ndio umuhimu wa kusajili jina la biashara kule Brela ndipo unpoonekana. Hongera mkuu
 
Attachments

  • AddText_04-20-07.20.42.jpg
    AddText_04-20-07.20.42.jpg
    64.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom