Kwa wale wanandoa!

Kwa wale wanandoa!

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,365
Sababu zip zmekufany ukubali kumuoa au kuolewa na huyo uliyenaye? Be honest!
 
1-Nilimpenda(Uzuri wake)

2-Tabia zake

3-Mungu alisha andika awe mke wangu :A S shade:
 
Zipo sababu nyingi ila kwa ufupi nakupa hizi.
  1. Uvumulivu wake.
  2. Upendo wake hauna mfano.
  3. Mautundu yake kwenye sita kwa sita.
  4. Maneno yake ya hekima yaani huyachuja kwanza kabla ya kuyatoa kinywani.
  5. Huwapenda ndugu zangu na kuwathamini.
  6. Umbo lake, sura , tabia vinaendana.
  7. Mcheshi kila mara, hupenda utani kila mara.
  8. Haniombi ombi hela ovyo.
  9. Nilimuoa kwa gharama ndogo tu.
 
Mh! Fazaa how did u know kama mung akuandkia awe wako?
 
  • nilimpendea Wallet yake at first
  • ufupi na utanashati wake
  • ucheshi,ukarimu,upole wake
  • hatimae penzi likaota mizizi tukawowana
 
Saudar.no 3 na 5 nimepend zaid!
 
Mh asnam! Wantsha! Wallet yake? Ilikuw ina hela nyng au? Kwahy had leo bdo ip
 
  1. mapenzi ya kweli aliyonayo
  2. msikivu
  3. anajali
  4. amepanda na body zuri
 
Zipo sababu nyingi ila kwa ufupi nakupa hizi.
  1. Uvumulivu wake.
  2. Upendo wake hauna mfano.
  3. Mautundu yake kwenye sita kwa sita.
  4. Maneno yake ya hekima yaani huyachuja kwanza kabla ya kuyatoa kinywani.
  5. Huwapenda ndugu zangu na kuwathamini.
  6. Umbo lake, sura , tabia vinaendana.
  7. Mcheshi kila mara, hupenda utani kila mara.
  8. Haniombi ombi hela ovyo.
  9. Nilimuoa kwa gharama ndogo tu.

1, 2and 3 etc ambazo hazijatajwa nawe ...
 
The game...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Zipo sababu nyingi ila kwa ufupi nakupa hizi.
  1. Uvumulivu wake.
  2. Upendo wake hauna mfano.
  3. Mautundu yake kwenye sita kwa sita.
  4. Maneno yake ya hekima yaani huyachuja kwanza kabla ya kuyatoa kinywani.
  5. Huwapenda ndugu zangu na kuwathamini.
  6. Umbo lake, sura , tabia vinaendana.
  7. Mcheshi kila mara, hupenda utani kila mara.
  8. Haniombi ombi hela ovyo.
  9. Nilimuoa kwa gharama ndogo tu.

1 mpaka 7 zinafanana na za wakwangu! Ila 8 ni wajibu wake kutoniomba hela ovyo maana mimi sio hawara! Hapo kwenye tisa mhh nilimwoa kwa hela nyingi baada ya kujua sifa zake!
 
haya ni baina ya maswali yakipumbavu sana duniani !!!!! everything is in the eyes of the beholder!!!
 
namba 8 na 9..ha ha ha ha ha

Back
Top Bottom