Kwa wale waliosoma Bsc General.

Kwa wale waliosoma Bsc General.

L. Forward

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
16
Reaction score
2
Hii ni facult inayocover masomo yote ya Sayansi au ni somo moja la sayansi tu??!! Msaada please ninataka niapply Open university ....this year .. na vp ajira yake???
 
Hii ni facult inayocover masomo yote ya Sayansi au ni somo moja la sayansi tu??!! Msaada please ninataka niapply Open university ....this year .. na vp ajira yake???

ajira ujiajir coz 75% of pipo znategemea kilimo xo unaweza kjiajir
 
ingia kwenye website yao udownload prospectus yao inaelekeza kuhusu kozi zao
 
ajira ujiajir coz 75% of pipo znategemea kilimo xo unaweza kjiajir
Ok. Unamaanisha wanaosoma kozi hii nilazima wajiajiri?? hakuna sehemu kama viwandani , nk....unaweza ajiriwa....!?
 
Back
Top Bottom