Kwa Wale Waliopitia Dakawa High. School

Kwa Wale Waliopitia Dakawa High. School

Mzalendowetu

Member
Joined
May 22, 2012
Posts
87
Reaction score
36
Dakawa High. School ni moja kati ya shule nilizopitia ambazo daima nitazikumbuka. Ebu tujikumbushe yafuatayo:
1. Kijame: Huyu alikuwa ni headmaster ambaye alijenga nidhamu kubwa kwa wanafunzi na walimu pia
2. Walimu : Hamis, Mlyuka, Makuka, Kasembe, Madam Minja, Mrema, Seimu n.k
3. Babu Mhina, Simon na Kluivert: Hawa walikuwa wapishi maarufu sana
4. Mlocho: Huyu mzee alichangia ufaulu wa wanafunzi hasa wakiume
5. Mzee Dakawa: Alikuwa ni mzee mwenye asili ya South Africa ambaye alibaki hata baada ya wakimbizi wa africa kusini kurudi kwao.
6. Loliondo na Chobei
7. Kujungu
8.....................
9.....................
10..................
11..............
Ongeza lako linalofanya kuikumbuka shule hii
 
me nimepita kigurunyembe mwalimu akileta ujuaji anapewa za uso chali...
 
Back
Top Bottom