hapari wapendwa, mi niko tanga Namtafuta dada mmoja alikua anaitwa happy kingo, nimeangaika kumtafuta bila mafanikio alimaliza form IV toka mwaka 2002 niliachana nae mwaka 2002 pale dodoma alikuja kusalimia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.