acha kukatisha tama watu ww kwani ndo msemaji ea bodi?waliopata awamu hii wengi ni raund ya kwanza wlitoka single na multiple ambao wamecomfirm ila WA raund ya pili in wachache sana waliopata.tuendelee kusubirNawapa pole wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza pia niwaombe muwe wavumilivu kwani kuna awamu ya pili ingawa hii itawahusu sana wale walioomba chuo awamu ya tatu na nne.
Kama wewe ulipata chuo awamu ya kwanza na ya pili na Jana jina lako halijatoka upo kwenye wakati mgumu.
hahah mkuuu mbn watutisha aiseeNawapa pole wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza pia niwaombe muwe wavumilivu kwani kuna awamu ya pili ingawa hii itawahusu sana wale walioomba chuo awamu ya tatu na nne.
Kama wewe ulipata chuo awamu ya kwanza na ya pili na Jana jina lako halijatoka upo kwenye wakati mgumu.
Wakuu naomba mnisaidie kma kuna mashirika binafsi yanayoweza kutoa mkopo wa elimu ya juu, maana naona ndoto zangu za kusoma zinataka kukatika.. nilipata chuo mara ya kwanza kabsa na nna one ya 9 PCM.. msaada tafadhali
Yaah wamepata aisee...!! Hata wale wa business mwaka huu wamejitahidi kutobaguaaHv hamjasikia hata Diploma walioomba mkopo wamepata jamani
Ngoja tuendelee kusubiribado kuna awamu mbili zaid mkuu hivo bc kua mvumilivu
Mkuu wacha.ngoja nikutafuteYaah wamepata aisee...!! Hata wale wa business mwaka huu wamejitahidi kutobaguaa
Punguza jazba Dadaacha kukatisha tama watu ww kwani ndo msemaji ea bodi?waliopata awamu hii wengi ni raund ya kwanza wlitoka single na multiple ambao wamecomfirm ila WA raund ya pili in wachache sana waliopata.tuendelee kusubir