Kwa wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza

Tprecious

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
224
296
Nawapa pole wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza pia niwaombe muwe wavumilivu kwani kuna awamu ya pili ingawa hii itawahusu sana wale walioomba chuo awamu ya tatu na nne.
Kama wewe ulipata chuo awamu ya kwanza na ya pili na Jana jina lako halijatoka upo kwenye wakati mgumu.
 
Wakuu naomba mnisaidie kma kuna mashirika binafsi yanayoweza kutoa mkopo wa elimu ya juu, maana naona ndoto zangu za kusoma zinataka kukatika.. nilipata chuo mara ya kwanza kabsa na nna one ya 9 PCM.. msaada tafadhali
 
Sasa mbona kuna kijana jina lake lipo first round na chuo alikosa... Sijaelewa hapa
 
Nawapa pole wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza pia niwaombe muwe wavumilivu kwani kuna awamu ya pili ingawa hii itawahusu sana wale walioomba chuo awamu ya tatu na nne.
Kama wewe ulipata chuo awamu ya kwanza na ya pili na Jana jina lako halijatoka upo kwenye wakati mgumu.
acha kukatisha tama watu ww kwani ndo msemaji ea bodi?waliopata awamu hii wengi ni raund ya kwanza wlitoka single na multiple ambao wamecomfirm ila WA raund ya pili in wachache sana waliopata.tuendelee kusubir
 
hahah mkuuu mbn watutisha aisee
 
bado kuna awamu mbili zaid mkuu hivo bc kua mvumilivu
Wakuu naomba mnisaidie kma kuna mashirika binafsi yanayoweza kutoa mkopo wa elimu ya juu, maana naona ndoto zangu za kusoma zinataka kukatika.. nilipata chuo mara ya kwanza kabsa na nna one ya 9 PCM.. msaada tafadhali
 
Huo ndio ukweli i nimechaguliwa kozi yenye upendeleo wamkopo round ya kwanza na mkopo wameninyima kabisa.
 
Muhimu
IMG_20181018_103057.jpg
 
Jaman msikate tamaa mapema majina bado mengine yatatoka kikubwa kua na subra kila mtu amuombe Mungu wake kwa Imani yake lolote laweza tokeaila hiki kipindi kinakuaga kigumu haswa kwa ss watoto wa wakulima.... Nawatikieni kila la kheri wadogo zangu
 
Kama umekosa mkopo first batch na ulipata chuo first round & 2 inaeza ikawa kuna makosa ulifanya kweny application yako!! Cha msingi subir wafungue appeal window maan ile km una sifa ni uhakika 100%..nna wanangu wa2 walikosa round zote ila waka appeal wakapewa 100%!!...
 
acha kukatisha tama watu ww kwani ndo msemaji ea bodi?waliopata awamu hii wengi ni raund ya kwanza wlitoka single na multiple ambao wamecomfirm ila WA raund ya pili in wachache sana waliopata.tuendelee kusubir
Punguza jazba Dada
 
Sasa wazee unakuaje watu walikosa vyuo lakini kwenye majina ya waliopata mkopo wapo... Mnalizungumziaje hili.... Ni criteria gani imetumika hapa
 
Mm nawaza sijui ningefail ingekuwaje maana nimefaulu lakini aliefail hawazi bado kama Mimi nimechaguliwa first round lakini mkopo sina nikikosa sitakuwa na utofauti na aliefail maana nitarudi kitaa kusaka life
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom