Kwa wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza

Nawapa pole wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza pia niwaombe muwe wavumilivu kwani kuna awamu ya pili ingawa hii itawahusu sana wale walioomba chuo awamu ya tatu na nne.
Kama wewe ulipata chuo awamu ya kwanza na ya pili na Jana jina lako halijatoka upo kwenye wakati mgumu.
Aha acha kuwatixhia mkuu unajua vigez gan vimetumika kw waliopat awam ya kwanza au
 
Wakuu naomba mnisaidie kma kuna mashirika binafsi yanayoweza kutoa mkopo wa elimu ya juu, maana naona ndoto zangu za kusoma zinataka kukatika.. nilipata chuo mara ya kwanza kabsa na nna one ya 9 PCM.. msaada tafadhali
Mkopo utapat mjomba wasiwasi wa nin
 
M
Nawapa pole wale waliokosa mkopo awamu ya kwanza pia niwaombe muwe wavumilivu kwani kuna awamu ya pili ingawa hii itawahusu sana wale walioomba chuo awamu ya tatu na nne.
Kama wewe ulipata chuo awamu ya kwanza na ya pili na Jana jina lako halijatoka upo kwenye wakati mgumu.
Waliokosa INA maana walichelewa kuomba mkopo sio chuo,heslb huandaa batch kadri majina yanavyoingia.kuna watu hawana chuo ila wamepata mkopo
 
Wakuu naomba mnisaidie kma kuna mashirika binafsi yanayoweza kutoa mkopo wa elimu ya juu, maana naona ndoto zangu za kusoma zinataka kukatika.. nilipata chuo mara ya kwanza kabsa na nna one ya 9 PCM.. msaada tafadhali
Appeal mkuu utapata
 
M

Waliokosa INA maana walichelewa kuomba mkopo sio chuo,heslb huandaa batch kadri majina yanavyoingia.kuna watu hawana chuo ila wamepata mkopo
Huna chuo ila mkopo kapata???? Hii kitu sidhani kama inawezekana, ukisngalia loan Board breakdown unakuta wamekuandikia kias cha pesa wamechokupa kutokana na chuo na course unayosoma, mfano
Accomodation and meal,
Tution fees
Special facutl
Field n. K

Juu kabisa unakuta chuo na koz yako kama ulivo chaguliwa na tcu

Swali, huyo ambaye kapata mkopo hana chuo, huo mkopo umepelekwa wap?????
Labda ndio utaratibu wa mwaka huu, ila kwa kawaida haiwezekan iyoo kitu
 
Back
Top Bottom