Kwa wale waliofanya Interview UDOM

Kwa wale waliofanya Interview UDOM

Dijovisonjn

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
470
Reaction score
125
Naamini humu kuna watu walifanya written interview kule udom mwaka juzi/jana, kwa msaada wao kwetu sisi tunaoenda kufanya interview kama hiyo yao tena at the same place, NINAWAOMBA MTUPE SAMPLE YA MASWALI MULIOULIZWA.

PLEASE.
 
Nakumbuka kweli nilikuwa miongoni mwa watu zaidi ya 1000 tuloitwa for interview but ni zamani sana kukumbuka maswali.
Kulikuwa na kategore general na professional ila general yote yalikuwa ya kuchagu. Professional ndo yakueleza machache
Chamsingi kulikuwa na voca zabkufa mtu sooo jiandae
 
ok shukran mkuu
 
Kaka General ilikuwa na maswali kama 50 ya kuchagua na niw sikumbuki ila hayakuwa magumu sanaa wala usihofu
 
Hiv iyo kesho written itafanyikia wap afu wale maafisa rasimali watu na tawala mbona wao cjaona details zao za oral interview
 
pitia Algebra na calculus
then haturudii maswali so jiandae vizuri!
pitia sana vitu vinavyohusiana na field yako uvijue in and out
pia kutakuwa na maswali ya general knowledge.
pass mark 70 and above.
all the best
 
jiandae na maswali ya physics. chemistry. biology. English Lang.Swahili language mf iliulizwa bibi kizee................... yaani kuna maswali kama mia mbili.
 
Back
Top Bottom