Here we go again!
eti kama huyo mwanamke anafanya kazi hayo mambo atafanya muda gani ?
hapo kwenye:Mapenzi ya kweli ni kuvumiliana mkielewa ni vigumu watu wawili kuwa na idealogy sawa mtatofautiana tu, huo utofauti uvumilie kwa mwenzako ilihali ukielewa kuna vitu vingi na yeye anakuvumilia.
Nini mwanamke anahitaji katika mapenzi:
1. Kuthaminiwa na kupendwa,
2. Umjali kwa vitu vidogo vidogo, mwanaume elewa kuwa mwanamke haitaji gharama kubwa kukutambua kama mpenzi unayemjali; 1.Ukitoka kazini pitia hata Pochi ya 10,000/= tu, au kila baada ya mwezi 2.nunua Chupi za 50,000/= tu ni silaha tosha kwa mkeo au mpenzio. Usisubiri mpaka vitu hivyo vidogo vidogo avifanye mwanaume mwingine.....UMEKWISHA.
3. Outing, si lazima mwende Escape one, Double Tree, Akemy LAAAAA HASHA,3. Hata mkitoka nyumba mkaenda uwanjani pamoja kuangalia mechi kati ya YANGA na AZAM inatosha kwa mwanamke, Au mtoke nyumbani mwende kuangalia movies M/city au Quality center, inatosha kama utafanya walau mara moja kwa mwezi!! 4.Unabana pesa ili iweje wakati ukifa utaziacha??? kwa nini ufe kwa Pressure uliyoletewa na mwanamke ambayo ungeidhibiti kwa gharama ndogo????
4. Mwambie amependeza, kwa kifupi mwanaume jifunze kumsifia mkeo/mpenzio; hata mnavyofanya sex mwambie umejisikia RAHA, UMERIDHIKA, UME_ENJOY,
KWa hayo hapo ni ngumu mwanamke kukusaliti/kutoka nje ya ndoa hata siku moja. TAFAKARI WEWE MWANAUME@!!!!!!!!!!!!
Nini mwanaume anahitaji kufanyiwa:
1. Kubembelezwa kama mtoto, ashikwe shikwe ndefu, afanyiwe massage. si lazima kila siku, ila angalau mara moja kwa week.
2. Mwanamke thamini kazi anazofanya mumeo, tambua akili yake huwa inachoka kufikiria famili na majumu ya kazini; akifika nyumbani MKARIMU VIZURI.
3. Ukiwa kitandani jitume, onyesha una-enjoy, la msingi msaidie katika kukurahisishia wewe mwanamke kufika kileleni.
4. Kuwa msafi wewe mwanamke, msafi ndani mpaka nje! kama inawezekana oga hata mara nne kwa siku; Hakikisha mwanamume wako hakutani na harufu yoyote ile.
Kwa kufanya hayo hautamsikia mwanamume anatoka nje na kukusaliti!!
asanteni wandugu!!!!!!!!
Namaana zawadi yoyote kulingana na kipato chako. Kama unapokea 400,000/= huwezi shindwa kwa mwezi kutumia hata 15,000/= kwa ajili ya mkeo/mpenzio.hapo kwenye:
1.nikiwa nampa 10,000 kila siku hv mimi napokea sh ngapi kwa siku na kama inazidi hapo inamaana nitakuwa sina malengo sasa hela hiyo kwa siku sasa akiweka si atakuwa anapokea mshahara bila kufanya kazi....!!!!
2.chupi za elfu hamsini mimi mwenyewe nina boxer tatu za 2,500 nitakuwa na akili au matope!!!
3.hv vurugu zote za kwenye mipira huonagi au!!! hapo unawajaribu wahuni.....!!!
4 na 5 kwa maelezo yako hapo umefuja hela haujabana pesa mkuu!!!
Chupi.za elf hamsini????
Mapenzi ya kweli ni kuvumiliana mkielewa ni vigumu watu wawili kuwa na idealogy sawa mtatofautiana tu, huo utofauti uvumilie kwa mwenzako ilihali ukielewa kuna vitu vingi na yeye anakuvumilia.
Nini mwanamke anahitaji katika mapenzi
1. Kuthaminiwa na kupendwa.
2. Umjali kwa vitu vidogo vidogo, mwanaume elewa kuwa mwanamke haitaji gharama kubwa kukutambua kama mpenzi unayemjali; Ukitoka kazini pitia hata Pochi ya 10,000/= tu, au kila baada ya mwezi nunua Chupi za 50,000/= tu ni silaha tosha kwa mkeo au mpenzio. Usisubiri mpaka vitu hivyo vidogo vidogo avifanye mwanaume mwingine.....UMEKWISHA.
3. Outing, si lazima mwende Escape one, Double Tree, hata mkitoka nyumba mkaenda uwanjani pamoja kuangalia mechi kati ya Yanga na Azam inatosha kwa mwanamke, au mtoke nyumbani mwende kuangalia movies Mlimani city au Quality center, inatosha kama utafanya walau mara moja kwa mwezi.
4. Mwambie amependeza, kwa kifupi mwanaume jifunze kumsifia mkeo/mpenzio; hata mnavyofanya sex mwambie umejisikia raha na umeridhika.
Kwa hayo hapo ni ngumu mwanamke kukusaliti/kutoka nje ya ndoa hata siku moja.
Nini mwanaume anahitaji kufanyiwa:
1. Kubembelezwa kama mtoto, ashikwe shikwe ndefu, afanyiwe massage. si lazima kila siku, ila angalau mara moja kwa week.
2. Mwanamke thamini kazi anazofanya mumeo, tambua akili yake huwa inachoka kufikiria famili na majumu ya kazini; akifika nyumbani mkarimu vizuri.
3. Ukiwa kitandani jitume, onyesha una-enjoy, la msingi msaidie katika kukurahisishia wewe mwanamke kufika kileleni.
4. Kuwa msafi wewe mwanamke, msafi ndani mpaka nje! kama inawezekana oga hata mara nne kwa siku; Hakikisha mwanamume wako hakutani na harufu yoyote ile.
Kwa kufanya hayo hautamsikia mwanamume anatoka nje na kukusaliti.
Asanteni wandugu
Ndio ujue haikuhusu.mimi ambae cipo mausianon
Will work on that for shizzle..! We gotta care for our partners, otherwise tutachapiwaaaa..!Tukatae tukukubali mapenzi ni kama mtoto tu anayekuwa --there are constant needs to make relationships grow na usipoyahudumia basi jiandae kuyaua. Watu wanapoingia kwenye ndoa husahau kabisaaa kuwa the same baby love u once shared is still there : kina mama wanasahau yale maneno matamu na upole na kina baba husahau kabisa huduma ndogo ndogo; Kuna watu wanapitisha miaka hamna anayeinitiate outing, hamna anayemnunulia mwenzie hata kitambaa cha jasho. Mke au mume hajui hata size ya nguo ya mwenzie; Jamani hata mtoto leo huletewa pipi , next week chocolate nk.
Ego inaumiza watu sana: Lets learn to keep our love lives sparkling as Love is a decision we choose to do everyday , it doesn't happen naturally.