Eti nikweli kwamba kwa wale ambao hatutegemei mkopo, by tarehe 30 Oct, unatakiwa uwe umelipa ada kama sivyo no admission, nimesoma kwenye joining instruction yao, kama sijaelewa vibaya.
Msaada wenu wadau...
By 31octbr unatakiwa uwe umeshalipa first installment ambayo ni half the fees. Regardless kama umeapply mkopo or not.