Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Maisha yenyewe mafupi ponda mali, raha jipe mwenyewe
life expectancy miaka 40 had 45 ya mbongo,kama ana miaka zaid ya 25 ana miaka michache ya kuishi,kwa nin ajinyime raha?!
Maisha yenyewe mafupi ponda mali, raha jipe mwenyewe
Tunakoipeleka JF siko kabisa...
Sikatai kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni...but this sucks a lot...
Kula Papuchi ndio unakuwa Maskini. Utajiri ni akili ya mtu .unaweza uwe mstaarabu na umaskini ukakutawala. Dada wengi wanaliwa na mamtu yenye pesa. Limepark krugger, Prado linachukua dada poa linasepa nae.ndio maaana mafanyakazi mengi yakisitafu yanakuwa masikini ya kufa mtu sababu kama hizi linachezea mshahara kuchezea mshahara ni sawa na kufanya kazi bure kwa mwajili siku zinaenda umri ndio huo full vituko