Kwa wale wa mwanza jamani,

Kwa wale wa mwanza jamani,

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Mi mgeni hapa mjini mwanza, nimefikia maeneo ya nyakato, ila cjajua viwanja vya kuwapata madada poa, cause nina mshahara wa mwezi huu nataka kula wote na mmoja wa dada poa atakayenipendeza, naombe mnielekeze ni kiwanja gani nitakapowapata hawa wauzaji wa wa haja yangu, lugha za kuudhi na matusi, ctaki,
 
Tunakoipeleka JF siko kabisa...
Sikatai kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni...but this sucks a lot...
 
vizuri sana mkuu nenda maeneo haya
hapohapo nyakato njia panda muda wa saa tano usiku utawapata kwa buku tu aya hapo karibu tu
nenda mjini karibu na office za tanesco kupakana na CBE napo poa kabisa kuna wa bei tofauti buku tano na kuendelea aya njia ya pamba road pale nyuma ya posta pamba utapata tena bei rahisi tu buku aya nenda tena maeneo ya mwanza hotel kwa ndani au pale nje muda wa saa sita utawapata ukitaka wa hali ya juu nenda villa pack mitoto ya chuo mwisho buzuruga chuoni ila bei kwa kuwa umesema una mshahara na mwisho nakuambia huna akili
 
Kuna villa..gold crest club..kuna fussion...

Af kuna sehem maeneo ya kijiweni kuna bar moja matata sana nlienda siku 1 ao baamedi ni balaa tupu....ingawa m sio shabiki wao so nkaondoka kivyangu
 
Mmh una hatar ndugu hko unapochepukia sasa sio utarud na matope!take care
 
Mmh una hatar ndugu hko unapochepukia sasa sio utarud na matope!take care

ndio maaana mafanyakazi mengi yakisitafu yanakuwa masikini ya kufa mtu sababu kama hizi linachezea mshahara kuchezea mshahara ni sawa na kufanya kazi bure kwa mwajili siku zinaenda umri ndio huo full vituko
 
Mi mgeni hapa mjini mwanza,
nimefikia maeneo ya nyakato, ila cjajua viwanja vya kuwapata madada poa,
cause nina mshahara wa mwezi huu nataka kula wote na mmoja wa dada poa
atakayenipendeza, naombe mnielekeze ni kiwanja gani nitakapowapata hawa
wauzaji wa wa haja yangu, lugha za kuudhi na matusi, ctaki,
Aaaaggrihhhh! Pepo toka toka toka toka toka toka tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! Rakasyobabababababababa!!!!!
 
Nenda pale kwenye daraja la magufuli mabatini saa moja moja hivi ujichukulie zigo kwa bei chee!
 
Maisha yenyewe mafupi ponda mali, raha jipe mwenyewe
 
Nenda Saut uchukue watoto wazuri ambao kwa sasa wamefulia coz Boom limechelewa..
 
hivi mtoa mada unajua hicho unachokiongelea hapa ni kuvunja sheria??

ni sawa sawa na kuuliza nitapata wapi dawa ya kulevya

nchi yetu hairuhusu hiyo biashara hivyo mnunuaji na muuzaji wote wanatiwa mbaroni

mods kama hii post bado itaendelea kuwepo hapa na wanaonunua sembe waje waeke hapa matangazo

matola nisaidie kuwasilisha hili kama hupo maeneo haya
pia Ashadii
 
Mwambie aende Central Police aulizie watu wa namna hiyo. Mm siku moja nilimpata pale tena kwa bei poa kabisa. Mle mle ndani polisi. Kila la kheri mwana.
 
Mi mgeni hapa mjini mwanza, nimefikia maeneo ya nyakato, ila cjajua viwanja vya kuwapata madada poa, cause nina mshahara wa mwezi huu nataka kula wote na mmoja wa dada poa atakayenipendeza, naombe mnielekeze ni kiwanja gani nitakapowapata hawa wauzaji wa wa haja yangu, lugha za kuudhi na matusi, ctaki,

Zunguka maeneo ya new mwanza hotel,gold cred hotel kuna watoto wa haja,nenda vila pack watoto wa maana. Chukua tahadhari uwe na condom. Kura raha! Life expectancy yenyewe ya mbongo miaka 40 hadi 45 kwa nini ujinyime raha!
 
Back
Top Bottom