Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 334
. . .Kwa wengi mtakuwa wenyeji wa jina hili Fr.Michael James Snyder. Huyu Bwana alikubwa na kashifa nyingi hasa za kuwalawiti waseminari pale makoko,Alitumia upadre wake kuwadanganya vijana kwa kuwafundisha Basketball na kuwaletea viatu vipya kutoka Marekani. Cha kushangaza alifumbiwa macho na maaskofu Marehemu Samba,Marehemu Butibubage na Marehemu Mayala. Kwani taarifa walipewa na hawakuzifanyia kazi.
. . .Mwaka 1996 aliondoka na kurudi kwao Marekani, cha ajabu mwaka 2007 alirudi Tanzania and he is the Catholic Chaplain at the Muhimbili University of Health and Allied Sciences.
. . .Huyu mtu hapaswi kufumbiwa macho
Mike and some students working in the garden outside the chapel and offices preparing for Christmas Celebrations in 2007
The Group gathers for Picture taking after one of Fr. Mike's retreats.