Kwa wale wa Kusini Lindi Mtwara, wenyewe wanaita ming'oko.

Acha kabisa hiyo kitu usiombe ukute imepikwa wakatwanga wakiwa wamechanganya na mbegu za watermelon na ukapiga kwa ugali wa muhogo duuu mnanikumbusha enzi zileeeee tulikawa tunaheshemu mwenge bila kwenda mashambani
 
Inaweza kupondwa pamoja na "bwimbwi"(unga upatikanao baada ya kuzisaga popcorn) na kupatikana kitu kama ugali hivi...Hicho kitu kinaitwa "Chikandanga"
 
Haina ladha yoyote. Ladha yake ni pilipili na chumvi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…