Awasiliane na dina marios atapata msaada zaid aweza tembelea blog yake inaitwa dina marios kwa contact zake.
ngoshwe, kwani si ni ya wamama alone?
Unataka silaha za kivita ziwekwe wazi? Muambie next tyme akija umuombee accomodation kwa maxence. Mie ntampa kiingilio na wewe gharamia nauli. Wivu wangu hauruhusu kumuaccomodate.
rafiki kwa nini na wewe hukuhudhuria? huhitaji msasa weye?nasikia walitoka saa 6 usiku, nawasikia wadada hapa job waliokwenda wanasimulia, kuliwekwa mpaka godoro la watu kujifunzia kufyonza!!! kungwi alitoka kenyaaaaaa, kazi ipo, na ndio kwanzaaaa watu wanaachika kila kukicha! haya mliokwenda tiririkeni basi!
Kwani ndoa yako inahitaji msasa? Pole mwaya, endelea kusugua na mchanga taratibu itaanza kung'aa.
mama lwakatare huwa ana siku ya wanandoa kanisani kwake! lakini na ye kaachika siku nyingiiiiiiiiiiii, wangemuitia aunt sadaka ainusuru ndoa yake. kazi ipo, mi hata hizo kitchen party za kawaida si kwamba huwa nakwenda kuchukua maujuzi, la hasha, huwa nakwenda maana unakuta ni rafiki wa karibu au ndugu, na mara nyingi nakuwaga na uji wa kungu mapemaaaaaaaa kwenye thermos yangu, sitaki ugomvi na mtu! mautundu mtu huwa nayo, sidhani kama mtu hufunzwa yale makitu, tena ukiwa mbunifu mwenyewe ndio kabisaaaaaaa! FP mzima weye?rafiki kwa nini na wewe hukuhudhuria? huhitaji msasa weye?
angalia kwa makini, makungwi weeengiiii walishaachika tena wengine mara kadhaa..................... akili kichwani
umepotea shost, upo??Haata....!!!!!
Mie sitafuti msasa wa ndoa yangu..........ila nilitamani tu kuwasikiliza hao wanasaikolojia .
Nilivutiwa na zile highlights za aunty Sadaka!
Mie mzima my dear friend cacicomama lwakatare huwa ana siku ya wanandoa kanisani kwake! lakini na ye kaachika siku nyingiiiiiiiiiiii, wangemuitia aunt sadaka ainusuru ndoa yake. kazi ipo, mi hata hizo kitchen party za kawaida si kwamba huwa nakwenda kuchukua maujuzi, la hasha, huwa nakwenda maana unakuta ni rafiki wa karibu au ndugu, na mara nyingi nakuwaga na uji wa kungu mapemaaaaaaaa kwenye thermos yangu, sitaki ugomvi na mtu! mautundu mtu huwa nayo, sidhani kama mtu hufunzwa yale makitu, tena ukiwa mbunifu mwenyewe ndio kabisaaaaaaa! FP mzima weye?
Enyi wanawake mliobahatika kuhudhuria hapo Diamond, Mwanamke mwenzenu huyu, ameshindwa kuwa nanyi katika hiyo kitu mnaiita " KITCHEN PARTY GALA'. Yeye yupo Matombo Morogoro, alisikia kwenye matangazo tu kuhusu hiyo kitu, alivutiwa na alipenda kujua huwa mnafundishwaga nini huko kwenye "Gala" lakini ameshindwa kuwa nanyi.
Nauli kutoka alipo kwenda na kurudi ni zaidi ya kiingilio na kwa muda wakumaliza mafundishio hayo (Saa Nne Usiku) ingemlazimu achukue gesti , ila amesikia ticket zilikuwa zinauzwa shear illusion mlimani city; 8020fashions sinza Mori,Shekinah garden mbezi makonde,Tsn supermarket mikocheni,born 2 shine MwengeTra,Jackz cosmetics kinondoni na bei ya Ticket ni tsh 30,000 .
Katika hilo alisikia pia kuna wengine ambao wanaruhusiwa kununua meza. Ameona hii inawahusu zaidi wanawake wenye nazo, waishio Dar Es salama tu, wasomi na ambao pengine ndoa zao zinahitaji msasa.
Labda kwa wenzako mlioenda mwaweza kusaidia kumpa yale yaliyojili huko,wanauwafunda kwenye nini??
Kama yupo matombo na kashindwa hela ya nauli???atapata wapi hela ya internet?au kuna cafe huko??Awasiliane na dina marios atapata msaada zaid aweza tembelea blog yake inaitwa dina marios kwa contact zake.
Haata....!!!!!
Mie sitafuti msasa wa ndoa yangu..........ila nilitamani tu kuwasikiliza hao wanasaikolojia .
Nilivutiwa na zile highlights za aunty Sadaka!
rafiki kwa nini na wewe hukuhudhuria? huhitaji msasa weye?
angalia kwa makini, makungwi weeengiiii walishaachika tena wengine mara kadhaa..................... akili kichwani