Kwa wale Vijana wenzangu Wenye Mipango Ya Kujenga.

zootopia

Member
May 29, 2016
74
76
Habari za mdaa huu wana JF,
Kujenga nyumba nzuri ya kuishi ni Moja ya Ndoto kubwa za karibia kila kijana.Leo nimeamua kuja na PICHA/Plan mbali mbali za Nyumba za kisasa zinazomfaa kijana wa sasa, Japo ni lazima ujipange kifedha kidogo.

image_search_1493818094586.jpg

image_search_1493818252793.jpg

image_search_1493817986025.jpg

image_search_1493818023881.jpg

image_search_1493817853005.jpg

image_search_1493816667902.jpg

image_search_1493816917187.jpg
 
Atakuwa amechanganya madawa labda alikuwa anamaanisha wale wasiyokaguliwa vyeti.
Hata Mimi naona hivyo katika vijana wengi ninaowafahamu umri kuanzia 15_40 wenye nyumba za hivyo na wamejenga mazingira ya hivyo achana na waliorithi kutoka kwa family naongelea walifight from zero wenye hizo nyumba labda watakuwa 10 tu
 
Habari za mdaa huu wana JF,
Kujenga nyumba nzuri ya kuishi ni Moja ya Ndoto kubwa za karibia kila kijana.Leo nimeamua kuja na PICHA/Plan mbali mbali za Nyumba za kisasa zinazomfaa kijana wa sasa, Japo ni lazima ujipange kifedha kidogo.

View attachment 504139,
View attachment 504140,
View attachment 504141,
View attachment 504142,
View attachment 504143,
View attachment 504146,
View attachment 504147.
Mmmmmmh kaka hizo nyumba kweli ni za kujenga vijana wa Tz kweli kwa kazi ipi kaka tushauri kidogo hapo we umejenga hiyoo
 
Asee sijamtukana mtu Yeyote humu, kama umeona picha zinakukera au kukunyima amani you better stay calm. Cjamlazmisha mtu yeyote kujenga Nyumba kama hzo. Pia nashangaa watu wanaogopa kujenga nyumba za kisasa kama hzo wakati hao hao ndo waalimu wa ujasiriamali humu humu JF, na wanafundisha tena kwa umahiri mkubwa jinsi ya kuongeza vipato na kutengeneza fedha nyingi kwa muda mfupi.
 
Habari za mdaa huu wana JF,
Kujenga nyumba nzuri ya kuishi ni Moja ya Ndoto kubwa za karibia kila kijana.Leo nimeamua kuja na PICHA/Plan mbali mbali za Nyumba za kisasa zinazomfaa kijana wa sasa, Japo ni lazima ujipange kifedha kidogo.

View attachment 504139
View attachment 504140
View attachment 504141
View attachment 504142
View attachment 504143
View attachment 504146
View attachment 504147

Mkuu sasa tunapambana na kununua Unga kwa Tsh 2,500/ huku tukitafakari moto wa Team 9,932 halafu na Wewe tena unatuletea vitu vyako hivi ambavyo wengi wetu hata tukifanya Kazi kwa miaka 500 hatuwezi kuzijenga wala kuzinunua.
 
Back
Top Bottom