ujapata kazi bado wenzako wamesoma na degree wanazo na ni wafanyabiashara wakubwa ex... mengi...Nilipoteza muda wangu kusoma. Wafanyabiashara wanauwezo mkubwa kifedha. Ndiyo wenye uwezo wa kujenga hizo nyumba.
Mkuu kwa vijana wa tanzania bado sna hasa kwa mijengo kama hiyoHabari za mdaa huu wana JF,
Kujenga nyumba nzuri ya kuishi ni Moja ya Ndoto kubwa za karibia kila kijana.Leo nimeamua kuja na PICHA/Plan mbali mbali za Nyumba za kisasa zinazomfaa kijana wa sasa, Japo ni lazima ujipange kifedha kidogo.
View attachment 504139
View attachment 504140
View attachment 504141
View attachment 504142
View attachment 504143
View attachment 504146
View attachment 504147
Mkiacha michepuko na ujanja ujanja mbona mtazijenga tu.Mkuu sasa tunapambana na kununua Unga kwa Tsh 2,500/ huku tukitafakari moto wa Team 9,932 halafu na Wewe tena unatuletea vitu vyako hivi ambavyo wengi wetu hata tukifanya Kazi kwa miaka 500 hatuwezi kuzijenga wala kuzinunua.
Tupia na makisio ya gharama mkuu. Picha ivi ivi haina msaada mkubwa.Habari za mdaa huu wana JF,
Kujenga nyumba nzuri ya kuishi ni Moja ya Ndoto kubwa za karibia kila kijana.Leo nimeamua kuja na PICHA/Plan mbali mbali za Nyumba za kisasa zinazomfaa kijana wa sasa, Japo ni lazima ujipange kifedha kidogo.
View attachment 504139
View attachment 504140
View attachment 504141
View attachment 504142
View attachment 504143
View attachment 504146
View attachment 504147
Unasubiria mpaka ufikishe miaka mingapi? Acha kujiwekea mipaka ya kimaendeleo katika akili yako, kuna watu wapo teyari kujenga usiwakatishe tamaa, kuna vijana wanajenga nyumba nyingine zina bajeti kubwa kuliko hizo sema zinakuwa zile zilizozoeleka. Open Your Eyes, free your mind.Acha ujinga wee jamaa, vijana hatujengi nyumba za namna hiyo