FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
At least NE umekua na courage ya kuongea. Manake wanaume wote wanaosifia infidelity,sijui huwa wanafanya na nani? Ama wanafanya na wake za watu tu? Kupanga ni kuchagua mamaa,hongera sana. Japo unajizibia baraka zao ila maadam faithful keshasema unakua nao 5,natumaini kuna walau mmoja ambae yuko single mwenye uwezekano wa kumilikishwa.
Mh sana, The Boss originale, high time u edited ur copyrighted sheria za infidelity. Muwe mnawaconsider watoto wa watu banaa,walau msisifie wake zenu na kuongelea dinner and shopping treats.
hawa ni wapuuzi kabisa,nyambafu zao,vinega wakubwa. Papaa Msoffe ana kauli moja ''huwezi kunipatia kitu ambacho mke wangu nimemwacha nacho na ndicho anachonipatia, hivyo nipe kitu tofauti na ninachopata kwa wife'' means mpe mtandao wa tigo. Nyumba ndogo nyingi zinaliwa tigo,so NE na Kongosho nina wasiwasi saaana na usalama wa mitandao yenu ya ........
Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's husband. Mimi ni mdau pia ninae mume wa mtu.
Ila kuna kitu kimoja huwa kinauma sana wakati uko sasa na mpenzi wako (Mume wa mtu) ana anza mashauzi mara aaa
1. Jana nilienda na mama dinner
2. Mara jana nilivyokuwa home sijui wife kasema hivi
3. Mara sijui ngoja wife ananipigia
4. Mara sijui wife kasafiri
Acheni kupiga story za wake zenu kwani wakati unakuja kwangu hukujuwa kama una mke. Mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee.
hey hey hey, hold your horses brother!!! Ni mammbo ya kawaida sana hayo na yanafanyika sana
Kama wanalipa je?
hey hey hey, hold your horses brother!!! Ni mammbo ya kawaida sana hayo na yanafanyika sana
Nakutakia kila la kheri,
Halafu sio mabinti wote wenye kutembea na waume za watu, ni nyie wa huko huko kanga moko!
1. Sio wote wasemao Bwana Bwana watauona Ufalme wa mbingu.
2. Is not true waliooa wana wanawake zaidi y wake zao? Hapa tulitaka tusikie ukweli, kusema kuwa sijui nini zetu zishatumika hayo ni mawazo yako na nayaheshimu, na ogopa watu wanaopenda kijionesha as Saints mbele za watu, bora mie am the devil you know.
Serikali iache kugharamia dawa,ili watu wenye mtazamo kama wako mpukutike kama njugu,We really differ,keep it up!hey hey hey, hold your horses brother!!! Ni mammbo ya kawaida sana hayo na yanafanyika sana
hivi BAADHI ya wanawake wataendelea kutumika hivi kama toilet paper hadi lini? Anapomsifia mkewe kwako ujue kakuona huna thamani, ni toi la kutumia na kutupa! Jithamini.
Usisahau cha mtu mavi
King'asti watano ni hatari kwa afya,hapa unaweza kuwa unajihurumia mwenyewe:A S-coffee:
Utegemez unawaumiza galz
Khaaa! Kongosho umepinda walah tena...lol
Sasa kama wanalipa unalalama nini hapa?? We unapewa lifti alafu unaweka masharti?
Ukimwi je?haugopi,au ndo ajari kazini?Kupnda suna mjini hapa au ulikuja na jembe? Una shamba kariakoo ukaniuzie na mie nilime niache kuwachakachua hawa bachelors?
Ukimwi je?haugopi,au ndo ajari kazini?