Kwa wale tunaotembea na waume za watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NOT ENOUGH, Nov 26, 2011.

 1. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's husband. Mimi ni mdau pia ninae mume wa mtu.

  Ila kuna kitu kimoja huwa kinauma sana wakati uko sasa na mpenzi wako (Mume wa mtu) ana anza mashauzi mara aaa

  1. Jana nilienda na mama dinner
  2. Mara jana nilivyokuwa home sijui wife kasema hivi
  3. Mara sijui ngoja wife ananipigia
  4. Mara sijui wife kasafiri

  Acheni kupiga story za wake zenu kwani wakati unakuja kwangu hukujuwa kama una mke. Mkomeeeeeeeeeeeeeeeeee.
   
 2. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahahaha gud point...nakubaliana na wewe kabisa hapo!!! kama wampenda sana huyo mkewe sii ungekaa nae
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Duh,hli nalo liwekwe kwenye katiba mpya?
   
 4. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ee mwaya wamezidi!!! haya ni PM basi,
   
 5. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Tafuta wako bwana, kwanza ni lazima uwe na mume wa mtu????
  Hivi unajisikiaje kuwa na mume wa mtu, halafu mnafanya mapenzi kwa kujiiba iba???

  Mungu aniepushe kwa hili!
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Nawe ukome kukazwa na waume za watu. Siku ukifumaniwa, utajuta kuzwali na hicho kidude.
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  nami pia nakuongezea dua zangu ziungane na zako. Mungu akubariki.
   
 8. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Dah safi sana! Kidonge kutoka kwa mzinzi kwenda kwa wazinzi!!!
   
 9. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naomba kujua jinsia yako
   
 10. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama wanalipa je?
   
 11. JS

  JS JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hii imekaa kiU-turn U -turn hivi..................
   
 12. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  :director: Amen!!!!
   
 13. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Sikujua kwamba mwizi anaweza kuweka masharti mwenye mali asitajwe. Kumbuka hata asipotajwa, mwizi utabaki kuwa mwizi tu hutakuwa na haki sawa na mwenye mali hata siku moja.
   
 14. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #14
  Nov 26, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  still not enough?
  When will u be enough?
   
 15. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #15
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Haaaaah akuPM ili abebe mzigo?
   
 16. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #16
  Nov 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ili umfanye nini?
   
 17. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #17
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwani ni biashara?
   
 18. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #18
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Are you 100000000000% hujawaji kuwa na mume wa mtu?
   
 19. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #19
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  tafuta wako anayelipa.
   
 20. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #20
  Nov 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nina swali
   
Loading...