Kwa wale tunaotembea na waume za watu

Nashanga! Inahu? Kwa raha zetu wanaume wenyewe wachache afu hao walooa washafunzwa kuoga sasa ya nini nikahangaike kufunza mtu kuoga wakati kunaambaye kishaoshwa?

bata anaharisha, kuku anakunya lakini vyote ni vinyesi.
 
Kusifiwa lazima maana unashinda naye, wamlelea watoto, its logical, ila hawa married barchelors tunawatafuna tu kama soseji, na raha yake uwajaze mdomoni maana yake unakuwa nao wawili au watatu ndo inafaa. Basi huwa ni bandika bandua tu

Thubutu! Alichosema NE kime confirm my assumptions tu; ninajua nasifiwa popote. Lol.
 
Nashanga! Inahu? Kwa raha zetu wanaume wenyewe wachache afu hao walooa washafunzwa kuoga sasa ya nini nikahangaike kufunza mtu kuoga wakati kunaambaye kishaoshwa?

oops! Angalia usifanywe kasmall house position ya tano.
 
Nashanga! Inahu? Kwa raha zetu wanaume wenyewe wachache afu hao walooa washafunzwa kuoga sasa ya nini nikahangaike kufunza mtu kuoga wakati kunaambaye kishaoshwa?
Khaaa! Kongosho umepinda walah tena...lol
 
Basi kero ni pale anapokuwa safarini nje ya nyumbani...simu za usiku haziishi ila katkati ya stori utamsikia...shogako anapiga kata kwanza niongee nae!ntakupigia!.....inahusu?...jamani inaboa
 
Kumbe na JF nayo imekuwa danguro?! Mara nyingine nashindwa kuelewa wanawake wanaposema wanadhalilishwa, wakati upo muda wanapenda kujidhalilisha wenyewe. Hivi unawezaje kujisifia umalaya? Kwa hiyo kwako ni sifa kutembea na mume wa mtu kiasi unaweza kuja kujisifia hapa na kujadili as if unafanya jambo la maana saana kwa jamii yako.

Shame on you bitches!
 
Basi kero ni pale anapokuwa safarini nje ya nyumbani...simu za usiku haziishi ila katkati ya stori utamsikia...shogako anapiga kata kwanza niongee nae!ntakupigia!.....inahusu?...jamani inaboa

mkuki kwa nguruwe....nukta
 
Ukimwi hauwezi isha kwa jinsi hii sasa ukute na mke nae anakazwa pembeni...vijana kueni makini mbona k n mb** saizi yenu zipo nyingi sana...mtu ana mademu wa 5 wote single au wanaumne single 5 kwa mwanamke mmoja
 
hivi BAADHI ya wanawake wataendelea kutumika hivi kama toilet paper hadi lini? Anapomsifia mkewe kwako ujue kakuona huna thamani, ni toi la kutumia na kutupa! Jithamini.

Usisahau cha mtu mavi
 
Licha yakujiiba kwanza ni dhambi na humpati wakati wowote ukimwitaji ni bora ujitjaftie wako utakae kuwa nae wakati wowote na utakuwa na uhakika wakuwa safe zaidi

utakuwa nae wakati wowote vipi na "not enough" ndio kishamchukua wakati mwengine? :)
 
Kumbe na JF nayo imekuwa danguro?! Mara nyingine nashindwa kuelewa wanawake wanaposema wanadhalilishwa, wakati upo muda wanapenda kujidhalilisha wenyewe. Hivi unawezaje kujisifia umalaya? Kwa hiyo kwako ni sifa kutembea na mume wa mtu kiasi unaweza kuja kujisifia hapa na kujadili as if unafanya jambo la maana saana kwa jamii yako.

Shame on you bitches!

hawa ni wapuuzi kabisa,nyambafu zao,vinega wakubwa. Papaa Msoffe ana kauli moja ''huwezi kunipatia kitu ambacho mke wangu nimemwacha nacho na ndicho anachonipatia, hivyo nipe kitu tofauti na ninachopata kwa wife'' means mpe mtandao wa tigo. Nyumba ndogo nyingi zinaliwa tigo,so NE na Kongosho nina wasiwasi saaana na usalama wa mitandao yenu ya ........
 
hivi BAADHI ya wanawake wataendelea kutumika hivi kama toilet paper hadi lini? Anapomsifia mkewe kwako ujue kakuona huna thamani, ni toi la kutumia na kutupa! Jithamini.

Usisahau cha mtu mavi

sema kabisa ni sawa na pedi, kabla haijatumika ni ya dhamani, ikishatumika inatupwa
 
hivi BAADHI ya wanawake wataendelea kutumika hivi kama toilet paper hadi lini? Anapomsifia mkewe kwako ujue kakuona huna thamani, ni toi la kutumia na kutupa! Jithamini.

Usisahau cha mtu mavi

hey hey hey, hold your horses brother!!! Ni mammbo ya kawaida sana hayo na yanafanyika sana
 
At least NE umekua na courage ya kuongea. Manake wanaume wote wanaosifia infidelity,sijui huwa wanafanya na nani? Ama wanafanya na wake za watu tu? Kupanga ni kuchagua mamaa,hongera sana. Japo unajizibia baraka zao ila maadam faithful keshasema unakua nao 5,natumaini kuna walau mmoja ambae yuko single mwenye uwezekano wa kumilikishwa.
Mh sana, The Boss originale, high time u edited ur copyrighted sheria za infidelity. Muwe mnawaconsider watoto wa watu banaa,walau msisifie wake zenu na kuongelea dinner and shopping treats.
 
ila nyie warembo mnafurahisha sana ,ukiona hivo jua wewe unatumiwa tu ili kutimiza tamaa zake za kimwili,ila kiroho yupo pamoja na wife wake,
Kuna mmoja yeye alikuwa analalamika mwanamme gani huyu kila siku nikiwa nae anamsifia mkewe tu...hahahaha
 
Back
Top Bottom