Kwa wale tuliowahi kupata bahati ya mtende kuwapata watoto wa kishua huku tukiwa low level

Mshinga

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
3,532
1,124
hapa tupo wanaume wachache tu.

si jambo la kawaida sana kwa mwanaume wa kupata bahati ya mtende.yaani zali la mentali.

leo tulonge kidogo wale tuliowahi kuwapata hawa watoto.

sikutaka kuamini pale mtoto mmoja alipojibu rasimi bila hiana kuwa my request ACCEPTED.

niliuliza mara mbilimbili bado mrembo yule akanihakikisha sasa yeye ni mali yangu. nilimshukuru Mungu. nilijihisi nipo peponi.

japo baadae kwao aliandamwa sana mpaka akaniambia anapata a lot of trouble kwa ajili yangu.

I LOVE YOU NA..............

you feel my heart.

jamani zali la mentali ni ndoto ya wanaume wengi ila ni wachache tu tuliobahatika kwa hili na sasa tulonge humu
 
Unabahati sana umeponea hapo. Ila nawewe jiandae kukalia kikaango maana kuna gharama ya kuoa familia kuu-kuu, especialy kama familiayako ni chokest!
 
hii ni sredi kwa ajili ya konfesheni ya maujiko au ???

tunajipongeza tu kidogo jamani, haya mambo si ya kawaida. kwanza kujikaza kumfata huku ujijua siyo kabisa level yako ni ujasiri pia. lakini unapompata ndo inanoga na wakati mwingine usiamini kabis
 
Unabahati sana umeponea hapo. Ila nawewe jiandae kukalia kikaango maana kuna gharama ya kuoa familia kuu-kuu, especialy kama familiayako ni chokest!

nilishapewa warning tayari kuwa she is too delicate for me to handle,watu mpaka abroad walinitafuta kunisihi nimwache,ila mwingine alikuwa ananipa taarifa hata nilipokatiwa mawasiliano as she just arrived from kwa kaka mjaruo huko ng'ambo akawa ananipatia taarifa zote kwa kuniibia siri hata alipokuwa anarudi mrembo wangu from huko mashariki ya mbali akaniambia your girl is coming today. i real apreciate
 
tunajipongeza tu kidogo jamani, haya mambo si ya kawaida. kwanza kujikaza kumfata huku ujijua siyo kabisa level yako ni ujasiri pia. lakini unapompata ndo inanoga na wakati mwingine usiamini kabis

Hao watoto wa kishua ndio mpango mzima...we kama unataka kulea ukoo basi hangaika na wale wa uswazi kama jasho la meno halijakutoka!!!
 
dah kumbe inawezekana ngoja na mimi nikazane....
tatizo huku manzese nitawapata wapi watoto wa kishua a.k.a mboga saba..
itabidi mzee nijimix pande za mlimani city nikajaribu bahati yangu......inshaalah Mungu atanijaalia....
 
Mwanaume piga kazi upate pesa hayo mambo ya zali la mentali haipendezi kabisaaa.Ngoja kwanza nikuulize kwa hiyo ulivyopata hilo zali kwa mdada alikuwa anakuhudumia kila kitu na wewe unaona sawa tu?
 
Kule unguja kuna jamaa kidogo ashikishwe ukuta na baba wa binti, kisa baba hataki bintiye atoke na Kilaza kwao hohehahe..! mwisho wa siku jamaa aliachia ngazi...!
 
Last edited by a moderator:
Mwanaume piga kazi upate pesa hayo mambo ya zali la mentali haipendezi kabisaaa.Ngoja kwanza nikuulize kwa hiyo ulivyopata hilo zali kwa mdada alikuwa anakuhudumia kila kitu na wewe unaona sawa tu?

Inatokea wakati mko skonga, binti kwao wanazo lakini wewe umekuja na pocket money magumashi..(boarding schools hizo). Ukipata binti wa hivyo utatesa skuli coz vitu vidogo anakupa tu..! Nilikuwa naona jamaa zangu walivyokuwa wanafaidi, mie hata kutongoza nlikuwa sijui..!
 
Mwanaume piga kazi upate pesa hayo mambo ya zali la mentali haipendezi kabisaaa.Ngoja kwanza nikuulize kwa hiyo ulivyopata hilo zali kwa mdada alikuwa anakuhudumia kila kitu na wewe unaona sawa tu?
hapa siongelei habari za kuhudumiwa bali habari za kumpata huyo wa next level.
 
Inatokea wakati mko skonga, binti kwao wanazo lakini wewe umekuja na pocket money magumashi..(boarding schools hizo). Ukipata binti wa hivyo utatesa skuli coz vitu vidogo anakupa tu..! Nilikuwa naona jamaa zangu walivyokuwa wanafaidi, mie hata kutongoza nlikuwa sijui..!

Hahahaha kumbe udomo zege umeuanza siku nyingi eeeh....lol.Ila mie huwa naogopa sana watu wanaotoka katika familia za kitajiri sijui kwanini tu.
 
Kwa hiyo wa next level anakupa title au raha yake ni nini?

kila mtu na mtazamo wake, ukipata msichana mzuri usijipongeze utakuwa mjinga, ukipata msichana ambaye ni wa level ya juu sana pia ukaona ni kawaida utakuwa ni zaidi ya mjinga.

kimsingi kwangu ni mafanikii makubwa sana.
 
Back
Top Bottom