Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Uk government doersnt have enough salt minerals for these.
hahahahaa! mi natoa 50,000 tshngoja tufanye mchango tukurudishe utakufa na hiyo barafu
ngoja tufanye mchango tukurudishe utakufa na hiyo barafu
hahahahaa! mi natoa 50,000 tsh
Mbona wewe hujaganda?, twaja kesho na tutabanana hapohapo. Ciao
njoo tu best wala asikutishe, ila sisi huku leo tupo -12 degrees!
dah! Mna raha kwei kwei sie wenzenu tunaelekea 48degrees kifupi nje ni noma!
Du kaka huko hakufai, hata viungo vya uzazi vinaweza kosa ushirikiano! nakushauri uhame fasta kaka!
ngoja tufanye mchango tukurudishe utakufa na hiyo barafu
Kweli nimeondoka miaka 20 iliyopita tangu Enzi zaMzee wa Ruksa utawala wake ehhh kazi kweli kumekuwa kuzuri Dar? Nasikia Dar mnatumia mjini umeme wa Majenerator? kukingia usiku Dar Kelele za Majenerator kama mpo kwenye Ma Jumba ya Disko makelele mtindo mmoja Mjini Darmkishachanga mnipe nikamchukue... c unajua kaondoka zamani huyo anaweza akapotea njia....
Mbona wewe hujaganda?, twaja kesho na tutabanana hapohapo. Ciao